Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

View attachment 3020491
Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
 
Aisee ndio nasikia leo, taifa limeisha

1000011128.jpg
 
Hawapati hamu ya Kuingiliwa Kweli?
 
Kwanza kabisa pombe ni katika vitu havifai kwa afya ya mwili, akili pamoja na uchumi wako hivyo ni vyema kuiacha mara moja .

Nitajaribu kuifanya post hii iwe fupi kidogo.

Kwa nchi za wenzetu wanaita "alcoholy enema" au "butt chugging" ni moja ya njia hatari sana za utumiaji wa pombe na imeshapelekea vifo vya watu wengi sana marekani na ulaya .

Wanaotumia njia hii huwa wanatumia tube maalum hasa zinazotumika kufanyia medical enema ila badala ya kuweka kimimika kinachohitajika wao huweka pombe kisha wanajiingiza tube hiyo mpaka kwenye koloni(colon) na kuimwaga pombe eneo hilo la koloni .

KWANINI KOLONI?
KOLONI au colon kwa kiingereza ni eneo ambalo hufanya uvyonzaji maji wa mwisho kwenye mabaki ya chakula ambacho kimebaki kama taka mwili na ndo hapo mavi magumu (hard stool hutengenezeka) taka huwa zinakaa hapo kwa muda kidogo kabla ya kutolewa .

UHATARI WAKE .
mwili kikawaida huwa una vichochezi maalum (enzymes) zinazojulikana kama "alcohol dehydrogenase" ambayo huivunja vunja pombe na kupunguza makali yake pindi mtu anapokunywa pombe hiyo maana inachukuliwa kama kitu kisichofaa mwilini.

Sasa kwa wanaotumia njia ya hii pombe huwa haivunjwi wanapoingiza kwenye KOLONI ila huwa inanyonywa yote na kuingizwa moja kwa moja kwenye damu hivyo kupelekea ukali wake kuwa wa juu kitu ambacho kimaweza kupelekea kifo.

MADHARA.
1. Hupelekea kifo
2. Huchochea hisia za ushoga

Na mengine mengi.

N.b

Mwanzo niliandika colon kama puru ila nikagundua neno hilo linasimama kama lilivyo hata kwenye kiswahili yaani colon itaitwa koloni pia hivyo nikaamua kubadili kutoka puru kwenda kwenye koloni.
 
Attachments

  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    14.8 KB · Views: 4
  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    35.1 KB · Views: 4
Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

View attachment 3020491
Mbona Arusha na Moshi wanatumia hiyo kitambo tu.
 
grand millenial Inawezekana vipi sehemu inayotumika kutengeneza mavi bado ikawa na uwezo wa kutunza kilevi cha kwenye pombe?

Kwanini hiyo pombe isichanganyike na hayo mavi nayo iwe mavi, au kuna kitu gani huko kwenye colon kinachotumika kutenganisha mavi na hiyo pombe inayoingizwa humo { kitaje kwa jina}?

Au vinginevyo tuambie, umeshawahi kutumia hiyo njia ya kuweka kilevi kwenye colon ukalewa, kama ambavyo mtu analewa akiweka pombe tumboni?

Kama hujawahi kutumia, maelezo yako hayana uthibitisho usioacha shaka. Labda kwenye ushoga nakubaliana nawe.
 
Duh nimetafuta maneno ninayoweza kuelezea hapa au kucomment chochote nimekosa. Nnachoweza kusema kuwa kuwa watumia vile (wanywaji) na kula walevi.
Ok nimepata neno la kusema.
Miaka kumi ijayo naiona ile ya sodoma na gomora wanaume kuweka duara na kuanza kupigana pipe wa nyuma anampiga wa mbele Yake hivyo mpaka duara nzima mnajikuta mmemaliza ushetani. Maana kama pombe inawekwa kwenye nyaa nini matokeo yake?
 
Back
Top Bottom