Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha bila Yesu ni shida sana. Inakuwaje mwanadamu afikie maamuzi haya. Yaani Mtu anaruhusu aingiziwe kilevi kwenye kinyeo, dah!!Salaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
Nawaza hiko kimiminika kinaingia vipi nashindwa kabisaa kuelewa!! 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii imevuka viwango haswaaa.
Aiseee😆Wanachukua pampas wanamwagia pombe then wanavaa.Ni dakika tano tu rhym inapanda !
Kule kwetu Kigoma tunaita kuinika tunakuwa na dumu lina pipe mpira mdogo unaweka dawa unaingiza kwenye tundu maji ya dawa yanaingia kusafisha tumbo wazungu wanaita Enema inakuwa kama drip maji yatiririka njia ya haja kubwaNajaribu kuimagine hapa huyo mtu anakaa mkao gani ndio pombe iingie vema isimwagike
Aisee Naacha pombe sasa.Hii imeanzia kenya ndio tabia zao
View attachment 3020504
Uwiiiii vijana wa kiume kuingiza pipe huko si ni hatari kwa afya ya marinda yaoKule kwetu Kigoma tunaita kuinika tunakuwa na dumu lina pipe mpira mdogo unaweka dawa unaingiza kwenye tundu maji ya dawa yanaingia kusafisha tumbo wazungu wanaita Enema inakuwa kama drip maji yatiririka njia ya haja kubwa
Hospital kwenyewe wanafanya kabla ya kufanya uchunguzi utumbo mpanaUwiiiii vijana wa kiume kuingiza pipe huko si ni hatari kwa afya ya marinda yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]labda anakuwa amepiga bekiNajaribu kuimagine hapa huyo mtu anakaa mkao gani ndio pombe iingie vema isimwagike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haina haja ya kuelezea wanafanyaje kuna watu watataka kujaribu
Itakuwa mdomoni, maana zinazopitia mdomoni zinatokea huko chiniDuniani kuna mambo.Sikuwahi kujua hilo.Swali;Hiyo pombe ikishafanya kazi yake mwilini,inatokea njia ipi tena?