Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Nasikia hata mtu akizidiwa sana kuna Dawa za kuingizia Matakoni, Effect ya Dawa inakua haraka sana!
 
Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

View attachment 3020491
Maisha bila Yesu ni shida sana. Inakuwaje mwanadamu afikie maamuzi haya. Yaani Mtu anaruhusu aingiziwe kilevi kwenye kinyeo, dah!!
 
Aiseee mbele kibamia kilichochola na maisha nyuma kumelewa hakujielewi.wanaume WA miaka hii chenga tupu
 
Najaribu kuimagine hapa huyo mtu anakaa mkao gani ndio pombe iingie vema isimwagike
Kule kwetu Kigoma tunaita kuinika tunakuwa na dumu lina pipe mpira mdogo unaweka dawa unaingiza kwenye tundu maji ya dawa yanaingia kusafisha tumbo wazungu wanaita Enema inakuwa kama drip maji yatiririka njia ya haja kubwa
 
Hakuna kitu kama hiko ili ulewe lazima Pombe ipite tumboni kisha kuingia kwenye damu then kwenye ubongo.sasa haja kubwa ni Mpya aisee.
Utumbo mpana unafanyaje mmengenyo wa chakula.
 
Enema
 

Attachments

  • 510-1.jpg
    510-1.jpg
    31.4 KB · Views: 3
  • v4-460px-Perform-an-Enema-at-Home-Step-9-Version-4.jpg
    v4-460px-Perform-an-Enema-at-Home-Step-9-Version-4.jpg
    30.3 KB · Views: 3
Ndo maana kwny mikusanyiko ya watu ushuzi unanuka pombe tupuu..
 
Inasikitisha sana ila nimesikitika zaidi vile members wa humu wameuliza sana namna ya kufanya hilo zoezi 😌
 
Kule kwetu Kigoma tunaita kuinika tunakuwa na dumu lina pipe mpira mdogo unaweka dawa unaingiza kwenye tundu maji ya dawa yanaingia kusafisha tumbo wazungu wanaita Enema inakuwa kama drip maji yatiririka njia ya haja kubwa
Uwiiiii vijana wa kiume kuingiza pipe huko si ni hatari kwa afya ya marinda yao
 
Kuna dhambi zinafanyika hivi sasa hata shetani anashangaa🙄🙄 maana hata yeye hajawahi kujaribu.

Khaaaaa!
 
Back
Top Bottom