Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

Hitmyo picha inauhusiano na bandiko?
 
Weka picha. Bila picha ni ushambenga tu!
 
Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta ya usoni tu ni yapi, maana nimepaka American dream ya papai nayo inanitoa vichunusi
 
Hongera sana kwa kuitunza na kuilinda afya ya ngozi yako.

Nimewahi kununua shower gel kwako, una rangi nzuri ya asili.
πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta ya usoni tu ni yapi, maana nimepaka American dream ya papai nayo inanitoa vichunusi
Kabla ya kupaka mafuta yoyote lazima ujue ngozi yako
Kuna ngozi kavu
Kuna ngozi yenye mafuta
Kuna ngozi ya kawaida
Upo group gani?
 
Hongera sana kwa kuitunza na kuilinda afya ya ngozi yako.

Nimewahi kununua shower gel kwako, una rangi nzuri ya asili.
πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
Asante mkuu kama kweli vile
 
Chanzo cha yote ni jinsia ya kiume. Wasichana weupe, wenye mishepu ndio wanakodolewa macho. Inaleta insecurity kwa wasio weupe wanakosa madanga
Sio kweli, hata wanawake weusi wanazingatiwa.

Tatizo ni umagharibi au sijui tuseme umashariki wa huko kwa waarabu, maana hata nywele mnataka kama za kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…