Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

Wanapendwa,
Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam.

Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na kula nyama zao na kunywa damu zao.

Mchunguji umuhoji mtoto husika ameeingia vipi katika chama cha kichawi,wengi wanakiri bibi zao wamewapa uchawi, miongoni mwao hukiri kutaka kuwaua wazazi wao kwa uchawi.

Mtoto anahojiwa amekuja na nani na kumtaja mtu aliyekuja naye, mara nyingi mama na kuitwa kuja madhahabuni.

Mzazi huambiwa maisha yake yalikuwa hatarini kwa kuuawa na mwanae kishirikina.

Watoto hao huto shuhuda hizo muda wa usiku kuanzia saa tano mbele ya waumini wengi huku wakionesha kujiamini.

Mchungaji anawatoa katika chama cha kichawi na kuwa watoto wema.

Shuhuda iliyokuwa kubwa ni ile ya binti wa umri wa miaka 16 anayesoma kidato cha pili shule ya Kibasila kukiri kuua watu kwa kuwaaambukiza HIV kishirikina.

Amekiri kuua wanaume 600 kwa kuwaaambukiza HIV kishirikina.

Wasiwasi wangu ni vipi usalama wa hawa watoto baada ya kukiri kuua watu wengi kishirikina wakirudi mitaani? Maana kumekuwa na mauaji ya washirikina katika sehemu mbalimbali nchini.

Ikumbukwe shuhuda hizi zanarushwa kwenye tv na kuonwa na watu wengi ndani na nje ya nchi.

Sheria za mtoto zinasemaje kumlinda mtoto katika hali hii?
ni matapeli tu , ila uchawi upo tu
 
Vitu vingine serikali inaendekeza tu!

Hao ni sawa na wauza madawa ya kulevya, wanatakiwa wachukuliwe hatua za kisheria bila kuchelewa!
 
Si tunasemaga uchawi hauna ushahidi? Sasa unamshughulikiaje mtu kisheria bila kuwa na ushahidi??

Tunahitaji nguvu za rohoni zile za Mungu kupambana na nguvu za rohoni za shetani
Ushahidi wa nini akati mtuhumiwa kakiri mwenyewe?
 
Uchawi ni roho kwa uwezo wa majini. So hata mtoto mchanga anarithishwa au pandikizwa uchawi
 
Mkuu kwa hiyo hata mtoto ambaye hajaanza kuwa na ufahamu na chochote tayari anabebeshwa uchawi? aisee haya majitu ni ya hovyo sana na kibaya zaidi yanatoa kafara hadi watoto wa kuwazaa.....
 
Nina ushuhuda wa kweli kabisa..binti alianza akiwa na miaka 7 sasa ana 23 .. Kwa ruhusa ya mhusika nitaweka kisa chote hapa na ushahidi wa picha na video
Usisahau kunitag mzee mshana...
 
Utapeli wa namna hiyo uko KIMARA Temboni kwa Musa Richard Mwacha.
Vitoto vinatoa shuhuda havina hata uelewa na wanachokiongea
 
Wanapendwa,
Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam.

Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na kula nyama zao na kunywa damu zao.

Mchunguji umuhoji mtoto husika ameeingia vipi katika chama cha kichawi,wengi wanakiri bibi zao wamewapa uchawi, miongoni mwao hukiri kutaka kuwaua wazazi wao kwa uchawi.

Mtoto anahojiwa amekuja na nani na kumtaja mtu aliyekuja naye, mara nyingi mama na kuitwa kuja madhahabuni.

Mzazi huambiwa maisha yake yalikuwa hatarini kwa kuuawa na mwanae kishirikina.

Watoto hao huto shuhuda hizo muda wa usiku kuanzia saa tano mbele ya waumini wengi huku wakionesha kujiamini.

Mchungaji anawatoa katika chama cha kichawi na kuwa watoto wema.

Shuhuda iliyokuwa kubwa ni ile ya binti wa umri wa miaka 16 anayesoma kidato cha pili shule ya Kibasila kukiri kuua watu kwa kuwaaambukiza HIV kishirikina.

Amekiri kuua wanaume 600 kwa kuwaaambukiza HIV kishirikina.

Wasiwasi wangu ni vipi usalama wa hawa watoto baada ya kukiri kuua watu wengi kishirikina wakirudi mitaani? Maana kumekuwa na mauaji ya washirikina katika sehemu mbalimbali nchini.

Ikumbukwe shuhuda hizi zanarushwa kwenye tv na kuonwa na watu wengi ndani na nje ya nchi.

Sheria za mtoto zinasemaje kumlinda mtoto katika hali hii?
Watoto' Jingaz, Wazazi Jingaz, Wachungaji Jingaz Plus!
 
Mkuu kwa hiyo hata mtoto ambaye hajaanza kuwa na ufahamu na chochote tayari anabebeshwa uchawi? aisee haya majitu ni ya hovyo sana na kibaya zaidi yanatoa kafara hadi watoto wa kuwazaa.....
Kuna aina tatu za mtu kuwa mchawi.
1.Pale mimba tu inapoingia shetani anawahi anapanda uchawi kwenye kile kijusi ambacho hata umbo la mtoto alijajionyesha kupitia utrasound. So anapozaliwa tu ni fully mchawi yaani tayari keshaingizwa kwenye chama.
2. Mtoto anazaliwa tu au mtu mzima awe na fahamu asiwe anarithishwa uchawi toka kwa Jamii yake.
3.Uchawi wa kufundishwa na mtu ambae tayari mchawi au wa kusomea darasani.
Nguvu,ugwiji unapewa kadri unavyojitoa kumtumikia shetani.Si ajabu kumkuta mtoto Mdogo ni hatari kuliko babu,kule awaangalii umri heshima upewa kulingana na umwamba wako.
 
Hawa watu wanakuwa wameasi kabisa mamlaka ya Mungu Mkuu, ndo maana hata hukumu itakayowapata itakuwa ni haki yao......
 
Si tunasemaga uchawi hauna ushahidi? Sasa unamshughulikiaje mtu kisheria bila kuwa na ushahidi??

Tunahitaji nguvu za rohoni zile za Mungu kupambana na nguvu za rohoni za shetani

Ushahidi sio ndo huo ushuhuda wanaosema..!!

Sio wa kupuuzwa hao, tunajenga jamii ya kesho ya hovyo mno…. filamu kila pale.
 
Wanapendwa,
Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam.

Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na kula nyama zao na kunywa damu zao.

Mchunguji umuhoji mtoto husika ameeingia vipi katika chama cha kichawi,wengi wanakiri bibi zao wamewapa uchawi, miongoni mwao hukiri kutaka kuwaua wazazi wao kwa uchawi.

Mtoto anahojiwa amekuja na nani na kumtaja mtu aliyekuja naye, mara nyingi mama na kuitwa kuja madhahabuni.

Mzazi huambiwa maisha yake yalikuwa hatarini kwa kuuawa na mwanae kishirikina.

Watoto hao huto shuhuda hizo muda wa usiku kuanzia saa tano mbele ya waumini wengi huku wakionesha kujiamini.

Mchungaji anawatoa katika chama cha kichawi na kuwa watoto wema.

Shuhuda iliyokuwa kubwa ni ile ya binti wa umri wa miaka 16 anayesoma kidato cha pili shule ya Kibasila kukiri kuua watu kwa kuwaaambukiza HIV kishirikina.

Amekiri kuua wanaume 600 kwa kuwaaambukiza HIV kishirikina.

Wasiwasi wangu ni vipi usalama wa hawa watoto baada ya kukiri kuua watu wengi kishirikina wakirudi mitaani? Maana kumekuwa na mauaji ya washirikina katika sehemu mbalimbali nchini.

Ikumbukwe shuhuda hizi zanarushwa kwenye tv na kuonwa na watu wengi ndani na nje ya nchi.

Sheria za mtoto zinasemaje kumlinda mtoto katika hali hii?
TV channel ipi nasi tuone.
 
Hawa watu wanakuwa wameasi kabisa mamlaka ya Mungu Mkuu, ndo maana hata hukumu itakayowapata itakuwa ni haki yao......
Wao uamini shetani ni mkuu kuliko Mungu ni hadi wakutane na tukio kuu kisha shetani akimbie ashindwe kuwasaidia,then ndo utambua kwamba wapo upotevuni,au hadi nafsi yake ikirudishwa mfano mchawi,mwizi, kahaba pindi ile nafsi yake ikirudi au rudishwa na utu wao ukarudi ujutia Sana matendo yao ya nyuma ambapo kipindi hicho wao walijiona ni wajanja na wapo sahihi.
Cha ajabu waovu ndio huwa wa kwanza kuingia mbinguni kwa maana kama alikuwa muovu ni muovu haswaa anapopata Neema huwa na wokovu haswaa ,wanakuwa na bidii Sana kwa shetani na wakigeuka huwa na bidii Sana kwa Mungu.
 
Ni vyema ujataj hili kanisa linalo milikiwa na mchaga mmoja HV

Mm mwenyew nimesikia Sana hbr za watot kutoa ushuhuda wa kufikirika Sana kuuwa watu na kula nyam zao niliwaza Kam wee ulivyoleta Uzi huku
Kwan serekali isiwakamte wale watot watoe maelezo ya kina kuhusiana na jinai walizotenda na kuja kutubu

Nin kinaendelea tz yetu hii jmn

Mm Sina shida na nabii wa watu kwa kuwa pia mm namfatilia Sana ila ikianza tu section ya kutoa ushuhuda nataman nizime redio kwa kuwa napata mashak ya uwasilishwaji wa ushuhuda hzo
 
Nina ushuhuda wa kweli kabisa..binti alianza akiwa na miaka 7 sasa ana 23 .. Kwa ruhusa ya mhusika nitaweka kisa chote hapa na ushahidi wa picha na video
Mkuu with due respect tunasibiri wasilisho na ushuhuda wako plz
 
Wachawi wa JAMIIFORUMS watapinga hii kwa kejeli na dhihaka.

Lakini ndio hao hao wanaokuja kutujambia usiku vitandani.

Siku nikimnasa mmoja nitamtifua staili ya katafunua kiroho mbaya sana.
 
Back
Top Bottom