Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

kama ni makanisani basi Michongo ni mingi kuliko uhalisia....

Ila kama ni mtaani kwenye Real life basi ni jambo la kufuatiliwa sana....

Us3nge wa uchawi ni kuwa hauna maendeleo,,, Masikini kibao wamejikita huko,,,ndio maana hata kuzuia inakuwa ngumu..

Vita za kiroho sisi binadamu wa kawaida hatuwezi kuzielewa.
 
Luna binti tulikuwa tunamuombea kumbe kuna kanisa lilikuwa linamuwinda atoe ushuhuda

Tulivyoona walezi wake wanamtumia kama chanzo cha kanisa lake kupata media popularity tukamuacha aendelee nao.

Walikuwa wamegoma kumuombea hadi atoe ushuhuda. Tulipoondoka tunasikia wamama wanasema, binti kasema Yote ameua watu 1000, na alikuwa anataka kuwaua walezi wake.

Nikagundua dini nyingi zinapenda stories za mashetani na kauli za wachawi kuliko za Mungu. Hizo story zinamuinua shetani na nyingi hazina uhalisia.
 
Hapa kana ukweli
 
Back
Top Bottom