Luna binti tulikuwa tunamuombea kumbe kuna kanisa lilikuwa linamuwinda atoe ushuhuda
Tulivyoona walezi wake wanamtumia kama chanzo cha kanisa lake kupata media popularity tukamuacha aendelee nao.
Walikuwa wamegoma kumuombea hadi atoe ushuhuda. Tulipoondoka tunasikia wamama wanasema, binti kasema Yote ameua watu 1000, na alikuwa anataka kuwaua walezi wake.
Nikagundua dini nyingi zinapenda stories za mashetani na kauli za wachawi kuliko za Mungu. Hizo story zinamuinua shetani na nyingi hazina uhalisia.