ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Wanawake wa Mbeya, Songwe, Njombe na Iringa wanaongoza kujichubua wakifuatiwa na wa mikoa ya pwani.Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.
Labda haujawahi kuishi Kanda ya ziwa, katika wanawake 10 watatu ndiyo hawajichubui.Wanawake wa Mbeya, Songwe, Njombe na Iringa wanaongoza kujichubua wakifuatiwa na wa mikoa ya pwani.
Huenda sababu wengi wana dark skin, wangejua hata wasingefanya huo ujinga. Natural skin ni nzuri sana, hasa kama mtu anaitunza ngozi yake vizuri.Wanawake wa Mbeya, Songwe, Njombe na Iringa wanaongoza kujichubua wakifuatiwa na wa mikoa ya pwani.
Bangi inapaswa kuhalalishwa, sigara ni mbaya kuliko bangi.Huenda sababu wengi wana dark skin, wangejua hata wasingefanya huo ujinga. Natural beauty ni nzuri sana, hasa kama mtu anaitunza ngozi yake vizuri.
Kwa upande wa vijana wa kiume, wanavuta sana bangi...hata usiyemdhania anavuta bangi.
Ndugu Mtanganyika mwenzangu,kweli hayo ndio umeona matatizo ya taifa hili kwa sasa?Huzuni kuu inanipata juu ya taifa langu na vile mambo yanavyo enda!Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..
Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products
Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.
Bangi kama mtu anazingatia msosi sio mbayaKwa upande wa vijana wa kiume, wanavuta sana bangi...hata usiyemdhania anavuta bangi.
Mna hararisha lakini ina let dameg kwenye mental process na hili muwe mna lisemaBangi kama mtu anazingatia msosi sio mbaya
Bangi kama mtu anazingatia msosi sio mbaya
Naona wakuu mmeanza kuhalalisha kabisa, ndio maana nikasema uvutaji bangi umekithiri, na nyie mmethibitisha tayari.πBangi inapaswa kuhalalishwa, sigara ni mbaya kuliko bangi.
Which bangi are talking about labda bangi zenye wanalima pamoj na mboga chainiz kuna bangi na kuna mafyafyaBangi kama mtu anazingatia msosi sio mbaya
Hata pombe ukizidisha ina shida kwenye afya ya akili na mwili, sigara ni mojawapo ya kichochezi kikuu cha cancer.Mna hararisha lakini ina let dameg kwenye mental process na hili muwe mna lisema
Kwa hiyo unataka kusema hata bi mkora mwiigo mwanzo mwisho au?π π π
View attachment 3486741
Juzi nimekutana na janja mmoja wa mkoani ni jirani alikuwa anavuta alivyoniona akaficha sasa sijui anafake nini.Hua nawashangaaa baadhi ya wavuta sigara hua wanaficha ukikutana nae.