Kwa hili nitakuita baba samahani Kama ni mwanamke
Aisee kuna wimbo hapa huo namba 8 nimeutafuta kwa miaka mingi bila mafanikio sikujua hata nianzie wap
Nikawa naishia kujiimbia kimoyo moyo
Kwa kifupi ni wimbo wa kitambo kidogo asante sana ngoja niutafute then nienjoy
Baba, baba, babaaa... looo sijui hata nikwambie nn umenigusa kiroho na kuifanya wikiend kuwa murua
....angalia,utakapokuwaaa,umekulaaa na kushibaa,na kujenga nyumba nzuri sanaa,na kukaaa ndani yake. Na makundi ya kondoo na ng'ombee,yatakapo ongezekaa........Zipi unahitaji nikupatie
Kutokana na janga la corona Mwaka jana hakukuwa na Kantate wala Reformation, mwaka huu kantate kila kwaya zilifanya katika usharika wake, Reformation ipo sisi wa DMP - jimbo la kaskazini tunashindana mwezi huu mwishoni....angalia,utakapokuwaaa,umekulaaa na kushibaa,na kujenga nyumba nzuri sanaa,na kukaaa ndani yake. Na makundi ya kondoo na ng'ombee,yatakapo ongezekaa........
Kuna kwaya ilikuwa ni Wazungu lakini wameimba kiswahili....moja ya nyimbo zao ni,
...ushindi kwa watuu wa Mungu x2
...tunasonga mbelee,kwa nguvu za Mungu, hatuzuiliwi,tuna ushindii.
Hivi kwa mnaosali KKKT - DMP, kantate na mashindano ya kwaya bado yapo?
Nakumbuka mbwembwe za choir master mmoja wa Kariakoo miaka hiyo ya 1980's - 1990's.
Mungu awabariki sana.Kutokana na janga la corona Mwaka jana hakukuwa na Kantate wala Reformation, mwaka huu kantate kila kwaya zilifanya katika usharika wake, Reformation ipo sisi wa DMP - jimbo la kaskazini tunashindana mwezi huu mwishoni
Hawa kinondoni revival choir Kuna wimbo wanaimba "talila talila ta" sikumbuki jina la wimbo huo.Ansyekumbuka anambie.Unanikumbusha enz za rediocasseteDah nisamehe sana kuwasahau Kinondoni revival asee
Huo wimbo ni wa mwaka 1993/1994. Nakumbuka father wangu alinunua kaseti ya album yao. Ni Victoria Singers wala hujakosea.Shukrani sana, Mkuu!
Niliwasahau kabisa hao.
Nafikiri unasemea ni VICTORIA SINGERS, Ambao wana nyimbo kama MCHAKA MCHAKA, HIVI WEWE NI MKRISTO, UBATIZO, N.K
"Katika viumbe vyote" umeimbwa na Kwaya ya Barabara 13 Uliyankulu"Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe" na " Katika vitu vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika" ni nyimbo za kwaya ipi/zipi?
Ubarikiwe sana mkuu,umeniwahi hii commentBinafsii wimbo wangu bora wa wakati wote ni, Kwaya Kuu KKKT Kimara - Katika njia ya Injili
Nawe pia ndugu![emoji120]Ubarikiwe sana mkuu,umeniwahi hii comment
Umenikumbusha mbali sanaKKKT Mabibo choir sauti ikatoka