Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ok ni huo huo..kuteseka mimi nimechoka..kikomo nimefika...pesa zangu umeshapata..na mwanzo we ndo ulonifata...Mkuu hiyo kikomo si ndio ile Ali ana-rap huku dully akipiga chorus?
Ni nyimbo za mwanzo mwanzo kabisa za Ali.Nadhani ule wimbo uliitwa "Kuteseka nimechoka"
We nawe thread sio yako povu linakutoka. Kwani we hujaona hapo nilipotaja nyimbo.Punguza nyegeshobo, we taja wimbo unaoupenda usepe
Sifia wimbo usepe huu sio uzi wa mahabaWe nawe thread sio yako povu linakutoka. Kwani we hujaona hapo nilipotaja nyimbo.
Kiba ana sura nzuri Sana .
Kuna kosa gani kusema hivyo?
as meMacmuga
aiseeeeNakshi nakshi na Cinderella . Yaani nilitamani kuolewa nae alipotoa hizo nyimbo. Hahahahahhaa lol πππ
Uongo mmbaya Kiba ana sura nzuri sanaπ