Wimbo wa Isabela Kombo Mungu ni mmoja wazua gumzo

Kuhusu Mungu kuwa na nafsi 3 huo ni upumbavu na uongo ambao haupo hata kwenye biblia ni upumbavu kamili wa mtu asiye na chembe ya akili.
ndugu, wewe ndio mpumbavu tena mpumbavu wa mwisho kabisa. na haujawahi kusoma hata Biblia, hivyo huna hata haki kujadili hapa.
 
Mungu hayupo.

Hizo zote ni siasa za watu wanaopigana na hali zao tu.
 
Soon nilijua tu huyu dada hatachukua muda mrefu atakwaa kashfa tu kwenye uimbaji wake. Sijui kuna nini kwa waimbaji hawa wazuri kisura na kiumbo nini kinawakumba wanapovuma. Kaibuka kwa kasi sana kiasi cha kuwafunika aliowakuta kwenye uimbaji. Swali la kujiuliza, huyu dada ameolewa? Tumeanza kuwa na mashaka na waimbaji wa aina hii hukengeuka wanapopata mafanikio kwenye huduma zao za uimbaji
 
Sijakwambia uniambie huyo Mungu ni wa demokrasia.

Nataka uthibitishe uwepo wa huyo Mungu au kama huwezi kuthibitisha, Mwambie huyo Mungu aje hapa mwenyewe ajidhihirishe yupo.
Kubishana na muabudu ibilisi ni kupoteza muda,nenda na njia yako utapaona utakapofika.
 
Wapi hapo YESU kasema yeye ni Mungu au umeamua tu kujitoa mabetri?
YOHANA 14:7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona. 8Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. 9Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
 
Kama hawa waimbaji binafsi ni rahisi kutumiwa na shetani itabidi tuendelee kusikiliza kwaya tu. Kwaya wako strictlly na mambo ya kiroho na wapo macho na hila za shetani. Mwanakwaya mmoja akikengeuka anatengwa hadi ushirika, asipotubu na kuacha uovu wake anafukuzwa kabisa akafanye uovu wake nje kwa uhuru. Hawa waimbaji binafsi wamekuwa wakikwaa kashfa mbalimbali ikiwemo za ndoa na kufanya collabo na waimbaji wa kidunia huku wimbo maudhui yake yakiwa hayaeleweki hadhira yake ni akina nani
 
Siku hizi Mzee wa upako kabakiza jina tu na wafuasi. Yeye kila siku ni kuikanja Biblia na jiana la Yesu. Unadai hakuna utatu mtakatifu halafu bado unalazimisha kuwa Mkristo. Uzuri Hawa matapeli huwa hawadumu wanapiga na kusahaulika.
Unamlaumu tu ila ameiokoa nafsi yake kwa kutoruhusu kukufuru
 
Nimekusoma lakini bado sijakuelewa hususani hiyo namba 4.

Shida iko kwa huo wimbo (kupotosha) au shida iko kwa wahubiri (wapotoshaji) kuupinga huo wimbo?
 
Unamlaumu tu ila ameiokoa nafsi yake kwa kutoruhusu kukufuru
Mzee wa upako ni mlevi na tapeli wa siku nyingi sana, kule kuhubiri ni kwa ajili ya kuvuna pesa kupitia Injili.
Hata siku moja usijenge sana tumaini la kutaka kumuelewa au kumkubali, mchukulie kama saa mbovu ya mshale.

Wewe ulishaona wapi mhubiri wa kilokole anakunywa pombe au kuhalalisha pombe?
 
Mungu hayupo.

Hizo zote ni siasa za watu wanaopigana na hali zao tu.
Wewe endelea kuamini hivyo hivyo, lakini ipo siku moja utakuja hapa hapa JF kukiri Mungu yupo.
Haihitaji kubishana kuwa Mungu yupo au hayupo (maana haibadilishi chochote) maana Udhihirisho wa Mungu upo kiimani, na imani ni suala binafsi sana, na bahati nzuri wanadamu wote tumeumbwa kuamini, tutake au tusitake.
 
Atheists 24:5

Mpumbavu amesema moyoni, Kuna Mungu maana hawezi kufikiria sawasawa na hawezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, Anaunda dhana za kufikirika tu.
Mpunbavu unetunga hiu baada ya mama D kukupiga za uso na kukuita mpumbavu japo hujui kama u mpumbavu ila u mpumbavu na leo nakujulisha Ya kuwa wewe ni Mpumbavu ambaye unasema moyoni mwako hakuna Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…