Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Mpunbavu unetunga hiu baada ya mama D kukupiga za uso na kukuita mpumbavu japo hujui kama u mpumbavu ila u mpumbavu na leo nakujulisha Ya kuwa wewe ni Mpumbavu ambaye unasema moyoni mwako hakuna Mungu.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi tumia akili ....mimi.naijua biblia kuliko mtu yoyote kati yenu.Rudi upya ukajifunze upya Biblia. Biblia yote imejaa ufunuo wa utatu mtakatifu. Huwezi kupingana na huo ukweli.
Najua huwezi kuthibitisha kwa sababu msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.Wewe usiyeamini hata nikithibitisha utaamini unachoamini
Atajidhirisha kwako punde
Siku moja lini?Wewe endelea kuamini hivyo hivyo, lakini ipo siku moja utakuja hapa hapa JF kukiri Mungu yupo.
Haihitaji kubishana kuwa Mungu yupo au hayupo (maana haibadilishi chochote) maana Udhihirisho wa Mungu upo kiimani, na imani ni suala binafsi sana, na bahati nzuri wanadamu wote tumeumbwa kuamini, tutake au tusitake.
Kuhusu Mungu kuwa na nafsi 3 huo ni upumbavu na uongo ambao haupo hata kwenye biblia ni upumbavu kamili wa mtu asiye na chembe ya akili.
Rudi upya ukajifunze upya Biblia. Biblia yote imejaa ufunuo wa utatu mtakatifu. Huwezi kupingana na huo ukweli.
Wapi hapo YESU kasema yeye ni Mungu au umeamua tu kujitoa mabetri?
Usiunge vimistari wapi yesu kasema mimi ni MUNGU?Dah kumbe hata biblia hujasoma!!
Yesu ni Mungu
Sasa hii mistari yote ya nini? Wapi YESU kasema yeye ni MUNGU? au mpaka uunge unge vipengeleMungu ni mmoja tuu
Yesu ni Mungu
Kutoka 3
13 Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini?
14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.
15 Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
Kutoka 6
2 Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
3 nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Ufunuo wa Yohana 1
8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Isaya 9
6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Isaya 7
14 Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Mathayo 1
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
JINA YESU LILISHUSHWA NA MALAIKA KWA YUSUFU
Mathayo 1
20 Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
Acha kutumia upuuzi wa Paulo,mwandishi wa barua.2 Wakorintho 6
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
Mungu wetu ni wa demokrasia wewe amini hayupo kwasababu zako, na mimi nuache nuamini yupo kwa msingi wangu
Acha kuzungumka mbuyu na kujifanya unajua halafu wakati huo huo unapingana na ukweli wa utatu mtakatifu.Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi tumia akili ....mimi.naijua biblia kuliko mtu yoyote kati yenu.
1)Mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu
Kwamujibu wa injili ya kweli
2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa mwanadamu usio na nafsi ya binadamu ....
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mwanadamu yaani nafsi mbili ...
Hii ndiyo fafanuzi ya kweli.
Yesu alipo sema yeye ni mwana wa Mungu umaanisha mwili na akisema Baba umaanisha nafsi yake iliyo Mungu...hapo utagundua uongo wa makanisani wanasema Yesu hajui siku ya kiama ...wakati yesu alisema mwana hajui ila baba maana yake yeye anajua... maana neno baba umaanisha nafsi ya mungu ...yaani mwili wangu haujui ila nafsi yangu inajua....kumbuka yesu alipo kuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi je yesu aliye kufa siku 3 ni yupi wakati msalabani anasema leo hii kumbuka kuwa kilicho kufa ni mwana (mwili) bali nafsi ya yesu ni Mungu haiwezi kufa hata sekunde moja..
Samahani mzee niruhusu niingie pm kwako for logic argumentation kuhusiana na suala hili.Kuna nabii ametokea anadai wimbo huu mdada kauimba kwa kutumiwa na shetani bila yeye kujua, labda kwasababu amekuja wakati wa trend shetani anaagiza manabii na mitume wa uongo hao wauza mafuta waufute uungu wa Yesu. what I think about it;
1. Mungu ni mmoja tu, ila amejidhihirisha kwa nafsi tatu.
2. Yesu ni nafsi ya Mungu, hivyo ni Mungu yule yule.
3. Mzee wa ngome ya temboni ambaye namjua ni ajenti, mzee wa kibangu a.k.a Konyagi bapa, manabii mbalimbali wa uongo bongo wameibuka kwa pamoja wanadai Hakuna utatu mtakatifu na kwamba Yesu alikuwa mwanadamu wa kawaida tu, sio Mungu. wakati Biblia inasema hata kabla ya Agano JIpya (kitabu cha Isaya) kwamba Yesu ni Mungu mwenye Nguvu.
4. Wimbo huu ukiusikiliza vizuri, unaweza kuamini kwamba ni mojawapo ya shughuli za adui kuingiza ajenda zake kidogokidogo hadi aufute kabisa Uungu wa Yesu.
5. Kwa msiojua, ukijifanya wewe unamtumikia Mungu hakikisha upo vizuri kiroho, haufungui milango kama uzinzi, ugomvi, na uchafu mwingine. ukifanay hivyo hata kama wewe unajifanya kumtumikia Mungu shetani anaweza kuingia kwako akajifanya malaika wa nuru, akakupa mahubiri ya uongo, akakupa maono ya uongo, akakupa kunena kwa lugha ya uongo, akakupa nyimbo za uongo akakufanay ajenti wake bila wewe kujua kwasababu umeshafungua milango na yupo ndani yako. anaweza hata kufanya miujiza ya ajabu kabisa na watu wakakuona kama ni mtumishi au mwimbaji, kumbe shetani ameingia ndani ya kanisa anapigana kutokea ndani.
Hii ndio imewafanay wahubiri wengi wa Mungu ambao walikuwa wazuri kubadilika, walitumiwa na Mungu, wakateleza na kufungua milango, shetani akaingia akawabadilisha kabisa namna ya utendaji. hao wanaouza mafuta, maji, na keki usifikiri hawajawahi kuokoka. Majority yao wametokea kanisa la TAG, EAGT, FPCT na mengine ya kiroho. walikuwa walokole, ila walifungua mlango shetani akaingia, akabadilisha theologia yao kabisa na wanamtumikia shetani na shetani anawapa pesa.
Nabishana na mpumbavu ....nimekuambia utatu hakuna anayepinga watu wanapinga upumbavu wa utatu wa nafsi 3 .....utatu wa mungu siyo kwenye nafsi bali kwenye majukumu mfano baba yako jina lake ni John ila pia ni Dereva pia ni mwanajeshi hapo tayari kuna utatu wa nafsi mojaAcha kuzungumka mbuyu na kujifanya unajua halafu wakati huo huo unapingana na ukweli wa utatu mtakatifu.
Mimi nimekwambia, biblia yote ndani yake imejaa ufunuo unaohusu utatu mtakatifu. Na kila mahali anapotajwa Mungu kwenye Biblia lazima alitajwa katika ufunuo wa utatu mtakatifu, yaani Baba, Mwana au Roho Mtakatifu. Hakuna namna utamzungumzia Mungu anayetajwa kwenye Biblia pasipo kumzungumzia katika ufunuo (udhihirisho) wake, na huo ufunuo wake ndio unaitwa nafsi ya Mungu.
Sasa kama hujui tena nafsi ni nini, hapo ni hoja nyingine, inabidi ukajifunze tena upya biblia ili kujua.
Mwisho suala la utatu mtakatifu sio tafsiri ya kusubiria makanisa yaseme, ni suala la mtu binafsi kulifahamu, hata mpagani anaweza kusoma yeye mwenyewe Biblia na kuelewa.
Ndiyo maana yake ....watu waongo wamepotosha injili kwa kumsingizia mungu kuwa na nafsi tatu wakati mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu na hiyo nafsi ilitwaa mwili ikawa kristo na hiyo nafsi ukaandani ya watakatifu na kuitwa roho mtakatifuMungu ni mmoja tuu
Yesu ni Mungu
Kutoka 3
13 Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini?
14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.
15 Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
Kutoka 6
2 Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
3 nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Ufunuo wa Yohana 1
8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Isaya 9
6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Isaya 7
14 Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Mathayo 1
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
JINA YESU LILISHUSHWA NA MALAIKA KWA YUSUFU
Mathayo 1
20 Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
Mkuu comment yako hii imenipa elimu mpya kabisa juu ya dhana hii ya utatu mtakatifu. nimeinakili kwa ajili ya kujifunza zaidi, Much respect mkuu.Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi tumia akili ....mimi.naijua biblia kuliko mtu yoyote kati yenu.
1)Mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu
Kwamujibu wa injili ya kweli
2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa mwanadamu usio na nafsi ya binadamu ....
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mwanadamu yaani nafsi mbili ...
Hii ndiyo fafanuzi ya kweli.
Yesu alipo sema yeye ni mwana wa Mungu umaanisha mwili na akisema Baba umaanisha nafsi yake iliyo Mungu...hapo utagundua uongo wa makanisani wanasema Yesu hajui siku ya kiama ...wakati yesu alisema mwana hajui ila baba maana yake yeye anajua... maana neno baba umaanisha nafsi ya mungu ...yaani mwili wangu haujui ila nafsi yangu inajua....kumbuka yesu alipo kuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi je yesu aliye kufa siku 3 ni yupi wakati msalabani anasema leo hii kumbuka kuwa kilicho kufa ni mwana (mwili) bali nafsi ya yesu ni Mungu haiwezi kufa hata sekunde moja..
UTATU MTAKATIFU UPO WALA HAKUNA ANAYE PINGA ....ILA UPOTOVU NI KUSEMA HUO UTATU NI NAFSI 3 ZA MUNGU HUO NI UPUMBAVU NA TUSI KUBWA SANA KWA UTUKUFU WA MUNGU .....TATIZO HAPO NI NAFSI 3 HAKUNA MUNGU MWENYE NAFSI 3 MTU AKISHA SEMA MUNGU WAKE ANAZO NAFSI 3 HUYO NI MPUMBAVU TENA AJUI MAANA YA NAFSI ....KITU HAKIWEZI KUWA NA NAFSI ZAIDI YA MOJA KISHA KITU HICHO KIKAWA KIMOJA ....MTU YOYOTA AKIKUAMBIA KUWA MUNGU ANA NAFSI TATU MUULIZE ILI SWALI JE ROHO MTAKATIFU NI NAFSI NGAPI BILA SHAKA HATAKUAMBIA NI MOJA BASI MUULIZE TENA JE MBONA KUNA WATAKATIFU ZAIDI YA MMOJA WANAKUWA NA ROHO MTAKATIFU JE KWANINI HIZO NAFSI ROHO MTAKATIFU ZIWE MOJA WAKATI KILA MTAKATIFU ANAYO YAKE KAMA ILIVYO ANDIKWA KUWA HAKUNA WOKOVU PASIPO KUWA NA ROHO MTAKATIFU HAPO UTAGUNGUA WANAO SEMA ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA TATU YA MUNGU NI WAPUUZI MAANA IKIWA NAFSI ZA MUNGU NI 3 BASI ROHO MTAKATIFU NI NAFSI NYINGI ZA MUNGUUtatu mtakatifu ni wajanja waliamua kumgawa Mungu sehemu tatu bila aibu. Ajabu ni kwamba watu wamekubali. Sijui walitumia uchawi gani. Akili zetu zikimezwa na imani tumekwisha.
Unaumia nini Yesu akiwa mungu?Sasa hii mistari yote ya nini? Wapi YESU kasema yeye ni MUNGU? au mpaka uunge unge vipengele
Mkuu umeandika mkeka mrefu hapa cha msingi ni ukweli hata ukiwa ukweli mchungu kama ni Mungu apewe haki yake ya kuitwa Mungu lakini kama si Mungu basi pia ukweli usemwe hata kama alisema vitu vizuri kiasi gani ukweli usimame maana haufuti mafunzo mema aliyotuachia.Unaumia nini Yesu akiwa mungu?
Nani kazuia imani yako unayoamini
Hasira za Nini watu wakimtukuza Yesu kama mungu
Hizo hasira ulizonazo Yesu akiitwa mungu si uzieelekeze kwa yule jamaa anayejiita mungu wa duniani ili kuondoa maovu na Dunia iwe mahali pazuri pa kuishi
Je Yesu akiitwa mungu Kuna uovu unafanyika? Ambao unachochea dhambi na kuifanya Dunia kuwa si salama?
Kama huyu anayeitwa mungu alisema mpende jirani yako kama unavyojipenda, au akupigaye kulia mgeuzie na kushoto huyu si anastahili kuitwa mungu? Hasira zako ninini??
Ni ipi Hukumu kwa wanaomuita yesu mungu tofauti na Hukumu ya dhambi zako? Una uhakika wewe una hesabiwa haki kuliko hao wengine?