Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari kadhaa za ufuta na nililima mbegu ya lindi white.
Kilimo kinalipa hasa kama unapenda kulima usiingie kwenye kilimo kwa kusikia kwa watu utakufa kwa pressure maana kilimo kina maudhi mengi, kama unalima kwa kusikia utaacha aisee.
Nyie vijana acheni kutembea na bahasha za kilimo huo ni uzoba aisee njoeni maporini huku niwafundishe kilimo hivi hamjisikii aibu? Mnavyonuka jasho kutwa kutembea kusambaza CV? Huo umburula huo aisee
Note:
Kama hauna wito na kilimo kaa pembeni kilimo ni passion na wito.
OK OK OK Nipo hapa samaki samaki Morogoro nikienjoy kama wewe ni jobless! Karibu kuna ofa na wana tunakichafua