KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Achilia mbali hizi eka alizolima, hiyo miezi mitatu ni kuanzia lini?Million 40 ulilima ufuta ekari ngapi na ulivuna ekari ngapi? Hapa lazima nikukamate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achilia mbali hizi eka alizolima, hiyo miezi mitatu ni kuanzia lini?Million 40 ulilima ufuta ekari ngapi na ulivuna ekari ngapi? Hapa lazima nikukamate
Utakula spana za kichwa akili itakaa sawaEeeee mkuu umenijuaje? Ile ID Ulikuwa ya kitoto mno Sasa nimeichange
Hivi zikilia kabla hajapata huwa inasababishwa na nini?Waungwana naomba mnikumbushe Ile methali ya wahenga sijui maskini akifanya nini hulia bwataa
Soma majibu ya wadau utahundua muuza ufuta ni muongo ameshtuka na hangover anaota ndoto za mchana mchana hajalima ufuta wala nini kaamua kuwatukana vijana wenzie tu. Alete facts alilima heka ngapi ambazo zimempatia million 40 basiKwa nini mkuu? Bei ya ufuta imeshuka au?
Bei ni elfu 4 @kg.Hivi mnada wa kwanza wa ufuta umeshafanyika lindi? Je bei imesoma ngapi? Mlima ufuta
Hatujakataa lakini tulitaka atoe maelezo vizuei,,aliima ekari ngapi,,wapi lini na laifanyanya vipo hadinkufanikiwa ili watu wajifunze pia.Najua watu watakubeza ila ukikipatia kilimo kina lips hasa zao la ufuta. Ingawa kwa uzoefu wangu mwaka huu wale waliofata kalenda ya kupanda ufuta mid January, haukuzaa vizuri as umerefuka sana na hatimaye umezalia juu matawi ya chini hayakubeba. Last year Kuna mtu namfahamu alilima mvomero heka 40 ufuta ulimzalia na alipata 50mil. Mwaka huu mvua zimemuathiri so it is possible kupata that amount of money kwa ufuta hata mbaazi na uzuri wa mazao haya Hela yake faster unavuna na kuuza sio kama mpunga na mahindi Hadi uyatunze kusubiria peak season December
Lipia tangazoIt is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari kadhaa za ufuta na nililima mbegu ya lindi white.
Kilimo kinalipa hasa kama unapenda kulima usiingie kwenye kilimo kwa kusikia kwa watu utakufa kwa pressure maana kilimo kina maudhi mengi, kama unalima kwa kusikia utaacha aisee.
Nyie vijana acheni kutembea na bahasha za kilimo huo ni uzoba aisee njoeni maporini huku niwafundishe kilimo hivi hamjisikii aibu? Mnavyonuka jasho kutwa kutembea kusambaza CV? Huo umburula huo aisee
Note:
Kama hauna wito na kilimo kaa pembeni kilimo ni passion na wito.
OK OK OK Nipo hapa samaki samaki Morogoro nikienjoy kama wewe ni jobless! Karibu kuna ofa na wana tunakichafua
😄 🤣Hakuna milioni 40 hapa.
Hapan masasiumelima wapi mkuu? Lindi?
Ya kukodi au kununua?mashamba huko bei yanarange vipi kwa acre?
kununua