Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again

Wakuu ana kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari kadhaa Za ufuta na nililima mbegu ya lindi white

Kilimo kinalipa hasa kama unapenda kulima usiingie kwenye kilimo kwa kusikia kwa watu utakufa kwa pressure maana kilimo kina maudhi mengi Kama unalima kwa kusikia utaacha aisee

Nyie vijana acheni kutembea na bahasha za kilimo huo ni uzoba aisee njoeni maporini huku niwafundishe kilimo hivi hamjisikii aibu? Mnavyonuka jasho kutwa kutembea kusambaza CV? Huo umburula huo aisee

Note:
Kama hauna wito na kilimo kaa pembeni kilimo ni passion na wito

OK OK OK Nipo hapa samaki samaki Morogoro nikienjoy Kama weww ni jobless! Karibu kuna ofa na wana tunakichafua
Khaaa yaani apo si ajabu ume maliza kudeki sebuleni kwa shemej yako na bukta lako la Chelsea uku una kuna kuna tu hizo Poumbu ukaona uje uwananage vijana kwa ndoto zako za alinacha
 
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again

Wakuu ana kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari kadhaa Za ufuta na nililima mbegu ya lindi white

Kilimo kinalipa hasa kama unapenda kulima usiingie kwenye kilimo kwa kusikia kwa watu utakufa kwa pressure maana kilimo kina maudhi mengi Kama unalima kwa kusikia utaacha aisee

Nyie vijana acheni kutembea na bahasha za kilimo huo ni uzoba aisee njoeni maporini huku niwafundishe kilimo hivi hamjisikii aibu? Mnavyonuka jasho kutwa kutembea kusambaza CV? Huo umburula huo aisee

Note:
Kama hauna wito na kilimo kaa pembeni kilimo ni passion na wito

OK OK OK Nipo hapa samaki samaki Morogoro nikienjoy Kama weww ni jobless! Karibu kuna ofa na wana tunakichafua
Hongera sana mkuu!

Ni kweli kufanya kazi kwa bidii ni lazima Kwa Kila mja!

Lakini mafanikio ya KAZI ni majaaaliwa ya Mwenyezi ,pale juhudi na baraka zinapokutana ndipo mafanikio yalipo!

Big up!
 
Mkuu nenda pole pole wakati wewe unapiga mayowe ya 40M kuna mtu ameathirika na mvua...Mungu akikubariki na ukafanikiwa mrudishie sifa na heshima yeye aliyekuwezesha.

Pia acha madharau na kuwaita wenzako jobless...utafanikiwa zaidi ya hapo.
 
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again

Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari kadhaa za ufuta na nililima mbegu ya lindi white.

Kilimo kinalipa hasa kama unapenda kulima usiingie kwenye kilimo kwa kusikia kwa watu utakufa kwa pressure maana kilimo kina maudhi mengi, kama unalima kwa kusikia utaacha aisee.

Nyie vijana acheni kutembea na bahasha za kilimo huo ni uzoba aisee njoeni maporini huku niwafundishe kilimo hivi hamjisikii aibu? Mnavyonuka jasho kutwa kutembea kusambaza CV? Huo umburula huo aisee

Note:
Kama hauna wito na kilimo kaa pembeni kilimo ni passion na wito.

OK OK OK Nipo hapa samaki samaki Morogoro nikienjoy kama wewe ni jobless! Karibu kuna ofa na wana tunakichafua
 
Hakuna binadamu anayetoa code za mafanikio online,huo ni uongo ,hapo unatangaza soko tu la mbegu na kukodisha mashamba.
 
Back
Top Bottom