Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

Mkuu huko kuna asalama?
Upo maan tuna kambi ya jeshi hapa shida ipo kwa jamaa zetu (jeshi) japo si sana si unajua zile zao mara leo hakun kwenda shamba basi wote mnabaki kijijin au leo hatutaki kitambulisho cha NIDA tunatak barua ya mwenyekiti basi kama huna au umesahau watakuchangamsha mwili wanakuacha, al muhimu kuwa na vitambulisho vyote wanavyotak muda wote viwe mfuko wa shati, ila usalama uhakika.
 
Kama hivyo basi ni vizuri
 
kwa tz kilimo kilimo kinacholipa ni bang pekee yake nakumbuka mwaka juz njombe nilikunja m30 kwa heka mbili na hy ni hasala ila sasa kama huna bahat na maisha inakula kwako
 
Hongera!
 
Ufuta ni hasara tu.
Jamani hebu jaribuni kilimo cha dengu na njugu mawe pesa ipo.
Mfano njugu mawe kilo moja haishuki 4000 sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…