Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

Kabisa, hapa ni habari ya kuambiwa changanya na zako. Sina imani na maelezo yoyote ya jeshi la polisi. Fuatilia ukweli wa hiyo story utakuta ni tofauti kabisa na wanavyosema hao policcm.

Swali la kujiuliza kwanini polisi wadanganye kupotea kwa Mutta wanamaslahi gani na kupotea kwake. Maana Muta sio critic kwa serikali au sio vocal politian kiasi kwamba dola imfiche kwa mahojiano au Kama njia ya kumtisha.
 
Uzuri hao wote ni Wana CCM wazinifu wenzenu. Ingekua CHADEMA sijui muda huu kama pangetosha. Mngekopa Hadi mabando
View attachment 2237277
View attachment 2237278

Ila utumishi wa siku hizi Ni tatizo Sana. Watu wanatamani cheo Cha uchungaji lakini with na huduma ya uchungaji Mungu hajawapa Wala kuwaita. Mwisho wa siku ni kanisa kudhalilika Bila sababu.
 
Nilimsikiliza kamanda ila sikuelewa kisa cha kututangazia wapenzi kukutwa nyumbani kwao huku kukiwa hakuna jinai yoyote. Jeshi la polisi lingeweza kuweka staha kwa wapenzi hao bila kuleta gumzo mitaani, mbaya zaidi kwa mdada kutajwa jina na kabila kama vile ni mhalifu, hapa nadhani huyo dada anahitaji msaada wa kisheria dhidi ya kamanda kwa kumvunjia heshima hadharani.

Nadhani public demand ililazimu iwe hivyo. Kama jeshi la Polisi lingetoa taarifa nusu basi maswali yangekuwa mengi na watu wangeanza kunyosheana vidole. Nadhani jeshi limeamua kusema ukweli wote Bila kuficha Jambo ili kupunguza manunguniko.

Kuhusu huyo dada, jeshi limesema Ni rafiki yake kwa miaka kumi na sio mpenzi wake. Inawezekana alimpa hifadhi kwa muda. Halafu huyo dada hawezi kushtaki maana alikuwa anakaa na mtu anayetafutwa kwa muda, inakuwaje asitoe taarifa akakaa kimya?. Polisi wakiamua kumshtaki kwamba ndio aliyemteka au anahusika kwa kupotea kwake mtasemaje.
 
Mkuu Kulikua na haja gani ya Polisi kumtaja Ashura, Umri wake, Kabila lake na Makazi yake?

Ni prime suspect. Seema tu imegundulika kuwa hakumteka ndio maana ameachiwa. Mtuhumiwa yeyote lazima hizo taarifa ziwekwe bayana.
 
CHADEMA ingekuwa kata imeshatangazwa kuwa ipo wazi

Hata Taarifa ya Polisi ingekuwa ya udhalilishaji Mara tatu ya hii inayomuhusu Mutta. . Tungeambiwa amekamatwa akiwa na mwenzi wake wa kiume, Bora Muta wamesema rafiki wa kike, ingekuwa yupo CHADEMA to ungeambiwa amekamatwa akiwa na mpenzi wake wa kiume ili uaibike kwa ushoga. Mutta ashukuru yupo CCM wamemsitiri mengi.
 
Yule kamanda wa polisi wa DSM ni bogus sana. Utakuta anaongea mavitu hayana mvuto wala hayahusiani na jeshi la polisi. Anadhani ataukwaa u igp kwa dini na kukaza macho
 
Binafsi sijsona kosa la PT watu walishadhani kuwa wale wasiojulikana wamerudi, pili sadaka za kanisani tumejua zinapoenda, tatu kuonyesha kuwa jeshi lipo active muda wote, asante jeshi letu.

Ashura mnara tutakujengea pale tabata bima
Mbona kwa Ben Saanane wanakuja na story.....!!
 
Hata Taarifa ya Polisi ingekuwa ya udhalilishaji Mara tatu ya hii inayomuhusu Mutta. . Tungeambiwa amekamatwa akiwa na mwenzi wake wa kiume, Bora Muta wamesema rafiki wa kike, ingekuwa yupo CHADEMA to ungeambiwa amekamatwa akiwa na mpenzi wake wa kiume ili uaibike kwa ushoga. Mutta ashukuru yupo CCM wamemsitiri mengi.
Kabisa tuna polisi ya hovyo sn
 
hivi ww unaona sawa kabisa kuanikwa mambo yako binafsi kwenye media.je ungekuwa wewe unaanikwa mambo yako binafsi kwenye hadhara ungekubali?au mnaongea tu kwa ushabiki!
Angejitokeza kuwa yuko wapi
Diwani ni public figure watu watu wanataka huduma ya diwani haionekani

Privacy usipende vyeo public camera inakumlika kila sehemu.

Afadhali Mayala alipigwa chini akapata kura moja kugombea ubunge kawe sababu siku angekuwa mbunge angepotelea naye kwa Ashura Tabata wapiga kura wake wakimtafuta hapatikani ofisini hata polisi wakimtafuta anasema mnikome niko kwenye private affairs zangu sio lazima nionekane ofisi ya mbunge wala kikao cha bunge

Udiwani ni public office aache akaendelee na ukware wake

Mayala hoja yako iko below sea level
 
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,jeshini kauli ya mkubwa wako ni amri,rais akisema polisi muueni katitu utauliwa tu wala hawatauliza sababu
Mkuu ulisha sikia court martial
So chief wako akikwambia ua wwe una ua tuu so far ni amri you must be kidding
Sasa kwenye kujitetea utasema was an order from ur commanding officer
Hivi ulisha sikia kuhusu maadili ya kazi au ni kila kitu ni kupelekeshwa tuu kama nyumbu porini
Mambo mengine lazima ufanye reasoning coz si kila amri lazima iwe executed
Reasoning ni bora zaidi
 
This shows the corruption within ccm. This guy Mutta has been a Kawe division executive for two consecutive terms, all this time it was an open secret that he had issues with drugs and yet they recommended him to the electorate to vie for the Kawe seat!! Ccm has betrayed the trust of the Kawe residents by hiding Mutta's ailment when vying for these representative political positions.

Katika Uchaguzi za serikali za mitaa uliopita, waliingizwa madarakani wahuni wengi sana. yote haya ni sababu ya Jiwe.
 
Upo sahihi kabisa, polisi wamekosea kuingilia faragha binafsi ya mtu.
Huyo ni kiongozi wa watu na wanastahili kujua aliko.
Mbona mtu binafsi yule Abdul Nondo walifuatilia wakagundua "alijiteka"?
Ifike mahali watusaidie kujua watu binafsi akina Saanane na Azory walipo.
Kazi nzuri sana PT. Fanyeni na hilo la Saanane na Azory tuwapongeze zaidi
 
Mkuu ulisha sikia court martial
So chief wako akikwambia ua wwe una ua tuu so far ni amri you must be kidding
Sasa kwenye kujitetea utasema was an order from ur commanding officer
Hivi ulisha sikia kuhusu maadili ya kazi au ni kila kitu ni kupelekeshwa tuu kama nyumbu porini
Mambo mengine lazima ufanye reasoning coz si kila amri lazima iwe executed
Reasoning ni bora zaidi
Unaongea tu hujui ulisemalo hakuna askari wa kupinga amri ya rais ukiambiwa muue fulani ukigoma utauliwa wewe tu
 
Back
Top Bottom