econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kama alifanyiwa hivyo kimtego na wapinzani wake wa siasa, lazima polisi ifanye uchunguzi. Kwenye siasa kuna mambo ya honey trapping
![]()
Honey trapping - Wikipedia
en.wikipedia.org
Kwa taarifa ni kwamba alienda pale Kama sehemu ya kujitenga kidogo. Maana Mutta anasumbuliwa na Mambo ya stress. Nadhani alijificha kidogo ili atulize akili.