Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ungekuwa na familia usingesema hivyo, ukiajiriwa unawajibika kwa aliyekuandikia barua ya ajira.Huo ndio urasimu unaowalinda watumishi wasiozimudu kazi walizopewa. Mtaalamu akiifanya kazi yake inavyopaswa hakuna mwanasiasa anayeweza kumyumbisha. Engineer anashindwa kueleza majukumu yake kwa lugha rahisi.. halafu tumlaumu Makonda?
Sahihi! Na mwajiri hapa ni Serikali. Kuna mwajiri mwingine kwenye Public Services?... Familia ninayo lakini haiitegemei Serikali kwenye ajira.Ungekuwa na familia usingesema hivyo, ukiajiriwa unawajibika kwa aliyekuandikia barua ya ajira.
Ndani ya familia yako lazima awepo kiongozi, si kila mtu msemaji wa familia.Sahihi! Na mwajiri hapa ni Serikali. Kuna mwajiri mwingine kwenye Public Services?... Familia ninayo lakini haiitegemei Serikali kwenye ajira.
Mimi binafsi nilidhani mjadala unahusu mtumishi kusimamishwa mbele ya kundi la watu wanaohusika na wasiohusika na kuanza kuhojiwa kama mtoto mdogo au mhalifu, huku anayehoji akiwa na mtazamo wake wa kujipatia umaarufu bila kujali staha kwa anayemhoji, hilo swala la kurusha video ni dogo.Mara nyingi napingana sana na hoja zako humu jukwaani Ila Kwa hii hoja nakuunga mkono
Haiwezekani video ya vikao vya kazi vya ndani vya serikali virushwe hovyo Mitandaoni just ili viongozi flani wajipatie sifa Ila pia na kuzalilisha watu wengine.
Kurekodi vikao vya ndani inakubalika Kwa ajili ya kumbukumbu Ila kuvirusha hewani sio sahihi hata alivyofanya jerr slaa waziri wa ardhi kuruhusu kurushwa Mitandaoni video ya kikao chake na tapeli msama sijui alipokuwa anadeal na ishu yake ya utapeli wa viwanja ilikuwa sio sahihi.
Kuna taasi MF tra wanawahoji wafanyabiashara Kwenye vikao vya ndani kuhusu na ukwepaji kodi wa hao wafanyabiashara nao waanze kurusha hewani hizo video clips.
Hawa viongozi wanapoapa kwamba nitatunza siri za mambo yote nitakayoyafahamu Kwenye utendaji wangu wajue hiyo ni dhana pana sana
Nadhani kwa maoni yangu suala la kurusha video ndilo chanzo cha sisi tusiohusika kuona kuna uzalilishahi ambayo ni character assassination.Mimi binafsi nilidhani mjadala unahusu mtumishi kusimamishwa mbele ya kundi la watu wanaohusika na wasiohusika na kuanza kuhojiwa kama mtoto mdogo au mhalifu, huku anayehoji akiwa na mtazamo wake wa kujipatia umaarufu bila kujali staha kwa anayemhoji, hilo swala la kurusha video ni dogo.
Kile kilikuwa kikao kazi cha utendaji cha ndani Kati ya watumishi na RC kurusha Ile video sio sawa kama ndio hivyo basi tungekuwa tunarushiwa video ya vikao vya Baraza la mawaziriMimi binafsi nilidhani mjadala unahusu mtumishi kusimamishwa mbele ya kundi la watu wanaohusika na wasiohusika na kuanza kuhojiwa kama mtoto mdogo au mhalifu, huku anayehoji akiwa na mtazamo wake wa kujipatia umaarufu bila kujali staha kwa anayemhoji, hilo swala la kurusha video ni dogo.
Wafanyakazi wengi (kama sio wote) wa serikalini ni matutusa, bila kuwacharaza viboko kama hivi hawasongi mbele. Namuunga mkono Paulo.Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa Uingereza. Kati ya makosa makubwa, mabaya na very serious offenses ni racism, segregation, bullying and intimidation, yanachukuliwa very serious!
Mtu yoyote akilalamika amakuwa segregated, au amefanyiwa bullying and intimidation, hatua ya kwanza ni huyo bully anasimamishwa kazi, inatumwa timu ya uchaguzi kutoka UK kuja kuchunguza!
It's very unfortunately Tanzania, bullying and intimidation inafanywa na viongozi wetu, na hawafanywi chochote!
Huko nyuma niliwahi kuzungumzia hizi bullying and intimidations Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?
Hiki kilichofanyika hapa ni bullying and intimidation!.
Hawa ma bullies wakiendelea kufanya bullying and intimidation na kuachiwa, wanaweza kugeuka ni ma sadist na kufanya sadisim kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Hitimisho
Natoa wito kwa serikali yetu, isiruhusu huu udhalilishaji wa bullying & Intimidation uendelee!. Mbona Rais Samia hafanyi udhalilishaji?. Hawa ma bullies na ma intimidators they should be put in their rightful places!
Paskali.
Pia soma:
Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya MaadilI ya CCM
Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
Microphone Fever.Kile kilikuwa kikao kazi cha utendaji cha ndani Kati ya watumishi na RC kurusha Ile video sio sawa kama ndio hivyo basi tungekuwa tunarushiwa video ya vikao vya Baraza la mawaziri
Unafikiria Kwenye vikao vya Baraza la mawaziri hakuna mawaziri wanaobabaika kujieleza mbele ya Rais? Ule ulikuwa ni ujinga na mfano wa utoaji wa siri za serikali
Watanzania wanataka kubembelezwa. Advocate Mayala Pascal, mnapenda kuwabembeleza watumishi, ndio maana tupo nyuma sana kimaendeleo.Duh
Shujaa πππ₯
Kwako Lucas
Nimeshangaaa sana jiniasi pasikali. Magu kwake alikua ni malaikaIla wabongo kiboko asee dah!
Leo hata wewe NJAA unasimama kwa ukali unamsema Magu?
Kweli mtu ukifa unakufa na yako yote. We si ulikuwa mmoja wa timu chawa pro wa kusifu na kuabudu kila kitu