Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

Mtu unasema unasimamia Barabara,
Tuelezee Barabara unazosimamia wewe zina sifa zipi. Ili tunapoamua kukuuliza maswali tujue kabisa hizi zinakuhusu na hizi hazikuhusu.

Ukituambia wewe Barabara zako ziko gazzeted sisi hatujaona hilo gazette. Unless utuambie kua hata wewe mwenyewe hujui unasimamia Barabara gani.

Tuambie hata upana labda, au zenye changarawe au hata zinazopita mitaani. La sivyo tunaweza kukuuliza ukawa unatujibu kua haziko chini yako tukakosa majibu tarajiwa.

Na bahati mbaya au nzuri Makonda alimpa muongozo kabisa kwamba aelezee kazi zake katika muktadha upi. Lakini still bado jamaa hakumuelewa.

Watendaji wengi wa Serikali wanafanya kazi "Bora liende" sana.
Nielewe, ajira za serikali hazina kifungu kinachosema ukikosea utendaji wa kazi mkuu wa mkoa atakuhukumu hadharani, kila wizara na idara inawatendani wake na wakwanza aliye juu yako ndiye atakayekuhoji na si vinginevyo, bahati mbaya watanzania tunafurahia hizi mahakama za kina Makonda kiadi na yeye akatutaka tusikimbilie mahakama rasmi.
 
Uwezo mdogo Sana DAB.

Hii pia inawasumbua watz huwa wanaamini ili wafanikiwe lazima wamshushe thamani ya MTU ili thamani yao ipande

Wamekuwa wakifanya udhalilishaji kwa kigezo cha kujenga nchi na uchapakazi.
 
Paschal umefanya kazi Serikalini na unajua jinsi watumishi wanavyofanya kazi kimazoea na kufunika uzembe.

Makonda yuko sahihi kwa staili hii ya kukabili uzembe kazini, unachofanya hapa ni kujaribu kulinda legacy ya uzembe wa kitaasisi, kitu ambacho CCM itakifanya muda si mrefu.

Acha Makonda awanyooshe! Ndicho tunachotaka.
Kazi za serikali zinasimamiwa na waziri na katibu mkuu wa wizara husika, Makonda anaingilia majukumu ya watendaji wengine, kama kunajambo haliko sawa anatakiwa awaone hawa na si vinginevyo.
Barua za wajiriwa zina maelekezo yote na hatua mtumishi atazochukuliwa dhidi ya utendaji mbovu na utovu wa nidhamu, nazo ni za ndani ya ajira yake tu.
 
Tanzania sio masikini bali ni tajiri sana, ndio maana imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi

Magufuli, ameonyesha nia ya dhati kwa kauli na matendo

Kuyatekeleza yote haya sio kazi ya lele mama, ni kazi ya shuruba

by nature Watanzania ni wavivu

Maadam sasa mkombozi tumempata, whatever the names, be it or not, twende naye ili tufike kule tunakotakiwa kufika, na safari nyingine ni ngumu, kuna wengine wataishia njiani, na kuna wengine watafika wakiwa hoi bin
'Tanzania imebadilika nyinyi'-In Job Ndugais voice
 
Wanabodi,

Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa Uingereza. Kati ya makosa makubwa, mabaya na very serious offenses ni racism, segregation, bullying and intimidation, yanachukuliwa very serious!.

Mtu yoyote akilalamika amakuwa segregated, au amefanyiwa bullying and intimidation, hatua ya kwanza ni huyo bully anasimamishwa kazi, inatumwa timu ya uchaguzi kutoka UK kuja kuchunguza!.

It's very unfortunately Tanzania, bullying and intimidation inafanywa na viongozi wetu, na hawafanywi chochote!.

Huko nyuma niliwahi kuzungumzia hizi bullying and intimidations Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?.

Hiki kilichofanyika hapa ni bullying and intimidation!.

Hawa ma bullies wakiendelea kufanya bullying and intimidation na kuachiwa, wanaweza kugeuka ni ma sadist na kufanya sadisim kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Hitimisho
Natoa wito kwa serikali yetu, isiruhusu huu udhalilishaji wa bullying & Intimidation uendelee!. Mbona Rais Samia hafanyi udhalilishaji?. Hawa ma bullies na ma intimidators they should be put in their rightful places!

Paskali.

Pia soma:

Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya MaadilI ya CCM

Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
Lakini hawa wote ni role model wako Pascal Mayalla umewaandikia mabandiko mengi sana humu ya kuwasifia
 
Nimesikiliza clip husika na nimejifunza kitu zaidi kutuhusu sisi watanzania.
1. Tunapenda maelezo rahisi hata kwenye vitu vya kitaalamu. Meneja amekuwa jasiri kusimamia anachoelewa kiasi cha kuonekana hajui kujieleza.
2.Mh RC amekomaa ki utendaji ndio maana hakuvunja kikao chake.
Bullying language nimeisikia lakini sio kubwa kuliko language kwenye clip ya Mh. Magu.... Mimi mwananchi wa Arusha nitampima RC wangu baada ya kuona atakavyoyafanyia kazi mambo yote tunayoyasikia na kuyaona kwenye hizi clips.
 
Kwahio Samia akifanya au asipofanya right inakuwa wrong or vice versa ? Mbona tumekuwa watu wa kuunganisha mambo pasipo muunganiko ?!! Ukisema mbona Samia hafanyi unamaanisha akianza kufanya na wengine wafanye ?

Kwanini tusisimamie haki no matter the circumstances....

Kwahio sababu hapa Samia wakati anatoa Hotuba yake alitumia maneno makali ya Stupid na sisi waajiriwa wetu tuanze kufanya hivyo kwa ukali wa maneno ?; au pale alivyomwambia jamaa Nosense

View: https://www.youtube.com/watch?v=5qwv2XXiBjU
 
No,
mbona there is no bullying or intimidations over there mkuu 🐒

every responsible civil servant, with capacity or not, anywhere within or outside the country, must be fully responsible and very aware on their roles, duties and responsibilities.

they must understand very well their job descriptions, they must be fully aware on the status of programs and projects within their areas of work etc.

there is no room, no shortcut or escape root for irresponsible civil servant on duty to hide, as we move forward in transforming the country into prosperous economically , socially and political spheres of life 🐒

kumbradhi kwa hii lugha ya malkia nimetumia, lakini hata na hivyo tunasonga kwa haraka na biidii licha ya hizo setbacks kidogo kidogo, ila nia ni kuhakikisha tumepiga hatua Fulani na kuamsha uwajibikaji na umakini wa watendaji popote walipo 🐒
Kwa mtazamo wa Pascal itafika mahala ata Wabunge wakiwahiji Mawaziri wataambiwa wanafanya Bullying and intimidation.
Yaani Boss wangu ananiuliza kuhusu utekelezaji wa majukumu yangu nashindwa kueleza,then anyamaze tu,kweli!
 
Wanabodi,

Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa Uingereza. Kati ya makosa makubwa, mabaya na very serious offenses ni racism, segregation, bullying and intimidation, yanachukuliwa very serious!

Mtu yoyote akilalamika amakuwa segregated, au amefanyiwa bullying and intimidation, hatua ya kwanza ni huyo bully anasimamishwa kazi, inatumwa timu ya uchaguzi kutoka UK kuja kuchunguza!

It's very unfortunately Tanzania, bullying and intimidation inafanywa na viongozi wetu, na hawafanywi chochote!

Huko nyuma niliwahi kuzungumzia hizi bullying and intimidations Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

Hiki kilichofanyika hapa ni bullying and intimidation!.

Hawa ma bullies wakiendelea kufanya bullying and intimidation na kuachiwa, wanaweza kugeuka ni ma sadist na kufanya sadisim kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Hitimisho
Natoa wito kwa serikali yetu, isiruhusu huu udhalilishaji wa bullying & Intimidation uendelee!. Mbona Rais Samia hafanyi udhalilishaji?. Hawa ma bullies na ma intimidators they should be put in their rightful places!

Paskali.

Pia soma:

Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya MaadilI ya CCM

Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
Mkuu P sidhani kama kuna bullying hapo!ukweli lazima usemwe, viongozi wengi ktk taasisi za serikali hawafuatilii majukumu yao, hawana taarifa ya mambo yaliyo chini ya idara zao!pia serikalini huu utaratibu wa reporting hakuna so viongozi wengi hawajui hata kuandaa report!hvo Makonda lzm awachangamshe kidogo waache uzembeuzembe!serikali watumishi ni wazembe sana sana!business as usual
 
Wanabodi,

Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa Uingereza. Kati ya makosa makubwa, mabaya na very serious offenses ni racism, segregation, bullying and intimidation, yanachukuliwa very serious!

Mtu yoyote akilalamika amakuwa segregated, au amefanyiwa bullying and intimidation, hatua ya kwanza ni huyo bully anasimamishwa kazi, inatumwa timu ya uchaguzi kutoka UK kuja kuchunguza!

It's very unfortunately Tanzania, bullying and intimidation inafanywa na viongozi wetu, na hawafanywi chochote!

Huko nyuma niliwahi kuzungumzia hizi bullying and intimidations Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

Hiki kilichofanyika hapa ni bullying and intimidation!.

Hawa ma bullies wakiendelea kufanya bullying and intimidation na kuachiwa, wanaweza kugeuka ni ma sadist na kufanya sadisim kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Hitimisho
Natoa wito kwa serikali yetu, isiruhusu huu udhalilishaji wa bullying & Intimidation uendelee!. Mbona Rais Samia hafanyi udhalilishaji?. Hawa ma bullies na ma intimidators they should be put in their rightful places!

Paskali.

Pia soma:

Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya MaadilI ya CCM

Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
Dah
Nimeisikiliza nimejisikia vibaya sana kama ndo mimi

Sijajua mlengwa alikuwa na hali gan

Ni aina gani ya viongoz tulio nao? Hili ni tatizo na huzaa chuki kubwa sana
 
Kwa mtazamo wa Pascal itafika mahala ata Wabunge wakiwahiji Mawaziri wataambiwa wanafanya Bullying and intimidation.
Yaani Boss wangu ananiuliza kuhusu utekelezaji wa majukumu yangu nashindwa kueleza,then anyamaze tu,kweli!
umepigilia msumari wanmoto kwa mfano, lugha nyepesi na style nyingine ya kipekee sana ambayo haikutarajiwa. thanks very much 👊💪👏
 
watu huwa wanashindwa kujieleza kwa sababu nyingi sana. kuna siku yatakukuta na utaelewa hili. inaweza kuwa kuna siri kubwa ya serikali kuhusu ulichoulizwa na kimaadili huwezi kukisema pale kwenye kadamnasi, au kuna jambo la hivyo na ulijaribu kulificha kwa maslahi ya uma, au pengine wee ni interovert wa kuzaliwa, umeubwa hivyo, unatenda kuliko kuongea, kama walivyo extrovert wengine wanaongea kuliko kutenda. kuna mtu ukimleta hapa aongee hata jambo la uongo atakuconvince, mwingine hata jambo la ukweli atashindwa kulieleza ila ni professional, ukiweka kuongea pembeni anafanya kazi kwa ufanisi kuliko huyo mwongeaji. wanadamu tunatofautiana, wengine wanaweza sana kuongea kwasababu ya malezi, and vise verse is true.

kuna watoto wamelelewa na single mothers, au yatima, au aliugua sana akaumia moyo akawa mpole, au kuna jambo limemuumiza maishani akajikuta mpole sio muongeaji. ukiwa mtawala jua utatawala watu wa aina hizi zote, na uwachukulie kila mtu kama alivyo kwa faida ya taasisi kwasababu sio waongeaji vizuri wote ni watendaji wazuri, na sio wasiojua kuongea wabovu.
Asante sana kwa ufafanuzi, umenitoa kwenye box. Ila nadhani pia ni muhimu viongozi kuhudhuria kozi za communication. Nadhani kwa ulivyofafanua basi ktk uongozi wangu nitakuwa msikivu
 
Back
Top Bottom