Inashangaza mtoto wa Kiume unaDiscuss ndevu za Wanaume wenzako wakati hata Yesu alikuwa na ndevu hakuwa kidevu Dodo.Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza?
Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu, Computer na APPS zake. waache kabisa kunywa Soda kama vile PEPSI, COCA-COLA, SPRITE, FANTA na Soda zingine.
Maana bidhaa zote hizo Taifa teule la Israel lina mkono wake kwenye bidhaa hizo!!!
Ili kuonyesha chuki zenu vizuri kwa Israel wafuga midevu na majini tafuteni Mitandao yenu itakayoongozwa na Majini yenu!!!
Adiosamigo mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa Uharo Ritz na Wafuga Midevu na Majini popote walipo!!!
Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza?
Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu, Computer na APPS zake. waache kabisa kunywa Soda kama vile PEPSI, COCA-COLA, SPRITE, FANTA na Soda zingine.
Maana bidhaa zote hizo Taifa teule la Israel lina mkono wake kwenye bidhaa hizo!!!
Ili kuonyesha chuki zenu vizuri kwa Israel wafuga midevu na majini tafuteni Mitandao yenu itakayoongozwa na Majini yenu!!!
Adiosamigo mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa Uharo Ritz na Wafuga Midevu na Majini popote walipo!!!
Nani kakudanganya Pepsi au Coca inamilikiwa au kuanzishwa na wayahudi? Huyo Caleb Bradham wa Pepsi na John Pemberton wa coca cola hawajawahi kuwa na asili ya uyahudi. Hata wamiliki wa sasa wa Pepsi na Coca-Cola mtu kama Laguardia ambaye kampuni yake ndio chairman wa bodi ya PepsiCO sio myahudi!!Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu, Computer na APPS zake. waache kabisa kunywa Soda kama vile PEPSI, COCA-COLA, SPRITE, FANTA na Soda zingine.
Acha ujinga wa kubishana na mimi bishana na huyo Mfuga Midevu na Majini mwenzako hapo kwenye clip!!Nani kakudanganya Pepsi au Coca inamilikiwa au kuanzishwa na wayahudi? Huyo Caleb Bradham wa Pepsi na John Pemberton wa coca cola hawajawahi kuwa na asili ya uyahudi. Hata wamiliki wa sasa wa Pepsi na Coca-Cola mtu kama Laguardia ambaye kampuni yake ndio chairman wa bodi ya PepsiCO sio myahudi!!
Acheni kudanganyana na story za vijiwe vya kahawa. Elimu ndogo ila kujikuta mjuaji tu.
Acheni ujinga!! Acheni kutumia Simu wala Computer!!Hivi tuna import bidhaa gani kutoka Israel?
kwani kwa umri wangu huu sijawahi kukutana na bidhaa iliyoandikwa made in Israel?
kwa hiyo hatuna cha kupoteza, kwani, hatuna bidhaa zao au pengine zipo kwa 0.05%
Nchi inayo andikwa juu ya bidhaa ndio mtengenezaji. Tukianza kuongelea washiriki nafikiri China ndio inashiriki kwa bidhaa karibia 65% ya world share kwenye Electronics, magari, mitambo na hata mandege yanayoruka huko ila haya andikwi made in China.
Hiyo haina impact yoyote kwenye Uchumi wa Taifa teule!!Wala sio waislamu tu, watu wa dini zote na mataifa yote yakiwemo ya wazungu wamekuwa wakisusia biashara za wayahudi kama protest dhidi ya kusupport mauaji ya wapalestina. Unaweza soma hapa article juu ya hasara walizoingia wayahudi so far kwa mainstream boycotting.
Boycotting Israel has gone mainstream: ‘We’ve never seen such traction before’
After decades of being dismissed as fringe, the boycott call has been taken up by leading figures across arts, sports and politicswww.theguardian.com
Acheni ujinga!! Acheni kutumia Simu wala Computer!!
Msikilize Mwamba Kiboko cha Magaidi huko Mashariki ya kati na ulimwenguni kwa ujumla akitoa somo kuhusu Teknolojia yao!!
Ndiyo maana wewe nakuita Mjinga maana hujielewi na hujui kuwa mjinga si tusi!!Kijana, uwe unaongea kwa hoja sio kwa jaziba na matusi
hivi unafikiri unaletea hoja watu ambao hawajaenda shule?
ORODHESHA BIDHAA TUNAZOTUMIA TANZANIA ZILIZOANDIKWA MADE IN ISRAEL?
Ndiyo maana wewe nakuita Mjinga maana hujielewi na hujui kuwa mjinga si tusi!!
Ndiyo maana nakwambia wewe ni Mjinga unasubiri uone Made in Israel wakati huo hujui Chip ya simu yako hujui imetengenezwa wapi harafu unataka mimi nikuodheshee bidhaa rudi shule ukaondoe ujinga wako!!NDIO SABABU MNATOKA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI MKISEMA MTIHANI ULIKUWA RAHISI ILA MNAPATA SIFURI.
Nimesema hivi; ORODHESHA BIDHAA TUNAZOTUMIA TANZANIA ZILIZOANDIKWA MADE IN ISRAEL?
Ndiyo maana nakwambia wewe ni Mjinga unasubiri uone Made in Israel wakati huo hujui Chip ya simu yako hujui imetengenezwa wapi harafu unataka mimi nikuodheshee bidhaa rudi shule ukaondoe ujinga wako!!
View: https://www.tiktok.com/@ddh_ario/video/7573759051713105170?_r=1&u_code=e32k32l205ii8m&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=eghm13aeg9l7ka&share_item_id=7573759051713105170&source=h5_m×tamp=1779037857&item_author_type=2&utm_source=copy&tt_from=copy&enable_checksum=1&utm_medium=ios&share_link_id=DC80748B-3668-469C-ACF6-3AFAEDBA8F32&user_id=7124992722025694214&sec_user_id=MS4wLjABAAAAr0Q6O6zsRd2HvawW5KmXZYIyIoRWgfYz0ipNYZ454RcO94iaFfMKGPqHF6jfkCbj&social_share_type=0&ug_btm=b6880,b2878&utm_campaign=client_share&link_reflow_popup_iteration_sharer=%7B%22click_empty_to_play%22:1,%22follow_to_play_duration%22:-1,%22dynamic_cover%22:1,%22profile_clickable%22:1%7D&share_app_id=1233
Taifa teule ndio nini? Yaani nchi inayofadhili ushoga na kuchinja watoto inakua taifa teule? ina maana Mungu anafurahia hilo? Acheni kufuru.Hiyo haina impact yoyote kwenye Uchumi wa Taifa teule!!
Wakati huohuo Taifa teule la Israel linanufaisha dunia kwa kwa teknolojia zake mbalimbali!!