Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel!!.

Acha ujinga wa kubishana na mimi bishana na huyo Mfuga Midevu na Majini mwenzako hapo kwenye clip!!
Ndio nakufundisha leo kuwa Pepsi na Coca-Cola sio za wayahudi. Wayahudi mnapenda kujimilikisha kila kitu wakati hizo akili hamna.
 
Nenda kawasaidie Israel kiwanda cha Air defense missiles kimeangamizwa huko leo

View: https://youtube.com/shorts/8wBVkjagj1w?si=Ex4zAfxPbEmPZv5d
 
Kwa UHARO huu ulioutoa inaonyesha jinsi gani ulivyo mjinga!!!!

Uzi unawataka Wafuga Midevu na majini wote mgomee kununua bidhaa zote kutoka Israel ikiwemo Simu na Computer sijui wewe kapuku umegomea mitandao ipi? Au simu na computer?.

Nawaambia tena Israel ni kama Maji usipoyanywa basi utayaoga na usipoyaoga basi utayachambia tu!!!!
 
Acha matusi, jibu kwa hoja.....
Israel wanatengeneza computer aina ya Compulab ambazo hata hazijashika soko nje ya israel, na hawana brand ya kwao yoyote ya simu wanayotengeneza wenyewe.
Narudia tena; ORODHESHA BIDHAA YOYOTE INAYO UZWA TANZANIA ILIYO ANDIKWA MADE IN ISRAEL?
 

View: https://www.instagram.com/reel/DX2p0uBDC3x/?igsh=MXU2MXd0NjVpYnlwMg==
 
Sio waislam Tu Bali wapenda hali wote duniani
 
Siwezi kujibishana na Mjinga kama wewe kwa vitu ambavyo mtoto mdogo anaweza kukujibu angalia hapo chini wakati ukisubiri Made in Israel
 

Attachments

  • d0624e4e4c3346444ae19f3c982a21eb.mp4
    13.6 MB
Eti taifa teule! Walokole nyie ni wehu eti? Lile ni taifa la laana, matendo ndio huonyesha Uhalisia wa mtu, ukishakua agent wa shetani US na wewe ni shetani, shetani furaha yake ni mauaji, ubakaji,unyonyaji, dhulma wizi na machafu yote yasio Semeka yako katka hilo taifa iweje mlolkole awaite wateule? Wakristo mnajiabisha sana
 
Bidhaa zake mfano ?
 
Acha kujilizaliza tuambie wewe umegomea bidhaa gani?

Acha kutumia simu na Computer kuna Componets za Taifa teule!!
 
Siwezi kujibishana na Mjinga kama wewe kwa vitu ambavyo mtoto mdogo anaweza kukujibu angalia hapo chini wakati ukisubiri Made in Israel
Acha matusi,
Nimekuambia hivi; nitajie bithaa zinazouzwa Tanzania zilizo andikwa made in Israel
 
Acha matusi,
Nimekuambia hivi; nitajie bithaa zinazouzwa Tanzania zilizo andikwa made in Israel
Narudia tena wewe ni Mjinga neno mjinga si tusi!!
Wewe na wafuga midevu na majini wenzako ni Wajinga mnatakiwa kurudi shule mkajifunze muondoe ujinga!!
Sikiliza clip hii kuna uwezekano ukaelewa ila kama kiingeleza shida waweza nirudia nikakupa ufafanuzi kuliko kusubiri uone Made in Israel
 

Attachments

  • How_to_REALLY_Boycott_Israel(360p).mp4
    6.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…