Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,127
- 1,290
- Thread starter
-
- #21
Ndugu unaongea sawa na matakwa yako. Sisi tuna matakwa yetu ambayo ccm wameyafinya. Mfano sheria ya ugaidi ni ya kibaguzi huku 99% ni waislam na mashekhe. Hivi maslahi hayo tutaweza kuwapata msikitini.Acha upuuzi, maslahi ya waislamu yanapatikana msikitini, nje ya msikiti tunazungumzia maslahi ya wa Tanzania. Shenzi sana
Ndugu uchaguzi ni vita. Silaha zote zahitajika kupigania maslahi na matakwa ya wanaokandamizwa. Na si kwa matakwa ya wakandamizajiSlave ni wewe mujahideen wa Tandahimba
Kwenye hiyo sheria ya ugaidi kuna mahali ime ainisha ‘dini’ za magaidi??Ndugu unaongea sawa na matakwa yako. Sisi tuna matakwa yetu ambayo ccm wameyafinya. Mfano sheria ya ugaidi ni ya kibaguzi huku 99% ni waislam na mashekhe. Hivi maslahi hayo tutaweza kuwapata msikitini.
Hivi ni kosa iwapo ACT wameahidi kuifuta sheria hiyo na MBADALA wake itatukikq sheria ya uhalifu.
Yako masuala mengi ya kibaguzi na wanapaswa kuamuliwa kwa kupiga kura ya MASLAHI na si kuamuliwa msikitini
Ubaguzi uko wapi ndugu.Siasa za ubaguzi wa kidini haziwezi kukufikisha popote. Ni ufinyu wa kufikiri ndio unakusumbua.
Acha kufikiri kwa kutumia makalio, jitahidi upate walau elimu dunia na uifahamu siasa safi na chafu, dini haifungamani na siasa. Jamal Khashoggi aliuwawa na Serikali ya kiislamu kwa kusimamia haki.Ndugu uchaguzi ni vita. Silaha zote zahitajika kupigania maslahi na matakwa ya wanaokandamizwa. Na si kwa matakwa ya wakandamizaji
Hakuna. Hata ktk nchi ambazo matabaka fulani yanabaguliwa katiba au sheria haitaji kwa jina. Hata hivyo hisia za ubaguzi zinaonekana kwa kuwa hakuna ktk aliyekamatwa kapatikana na ushahidi kuwa katenda ugaidi.Kwenye hiyo sheria ya ugaidi kuna mahali ime ainisha ‘dini’ za magaidi??
Sio kweli unaongea hisia tuuKwa hiyo chadema kutoteuwa wajumbe wa kamati kuu waislam ni ubaguzi? Achilia mbali wale waliochaguliwa kwa kuwa ni wazanzibar
Tupatie mjumbe mmoja muislam ktk nafasi za wajumbe wa kuteuliwaSio kweli unaongea hisia tuu
Sasa watu wametendewa haki na mahakama isiyoendeshwa kwa misingi ya udini ubaguzi unatoka wapi hapo??? Hata wakili wao sio wa hiyo dini huoni hilo ni jambo jema???Hakuna. Hata ktk nchi ambazo matabaka fulani yanabaguliwa katiba au sheria haitaji kwa jina. Hata hivyo hisia za ubaguzi zinaonekana kwa kuwa hakuna ktk aliyekamatwa kapatikana na ushahidi kuwa katenda ugaidi.
hebu pata ushauri wa kitaalam hapa.
View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=nqM0P-xdK9kjN6vr
Ndugu fikra zako zinatokana na matakwa yako.Acha kufikiri kwa kutumia makalio, jitahidi upate walau elimu dunia na uifahamu siasa safi na chafu, dini haifungamani na siasa. Jamal Khashoggi aliuwawa na Serikali ya kiislamu kwa kusimamia haki.
Rudia tena kusikiliza ushauri wa wakili.Sasa watu wametendewa haki na mahakama isiyoendeshwa kwa misingi ya udini ubaguzi unatoka wapi hapo??? Hata wakili wao sio wa hiyo dini huoni hilo ni jambo jema???
Hivyo vifungu havipo kwa sababu hii ni nchi iliyoamua kuwa na serikali isiyo ya msimamo wa kidini, ndio maana nashangaa unapotaka kuleta hoja ya dini kama kigezo cha kupata kiongozi wa ki serikali ambaye badala ya kwenda kusimamia maslahi ya wa Tanzania wewe unataka akasimamie maslahi ya wa islam.Ndugu fikra zako zinatokana na matakwa yako.
Sisi tuna fikra zetu, matakwa yetu na njia zetu za kutafuta haki.
Huwezi lazimisha matako yako yawe sheria kwetu.
Kama kuna kifungu cha katiba kinachokata watu wa dini fulani kukiunga mkono moja ya chama Chenye maslahi kwao. Leta hiyo sheria.
Acha lugha mbaya. Hujui namna gani Waislma wameteswa nchi hii tokea uhuru.
Jiulize kwanini tunatoa mama Samia. Hana msaada wa kutuvusha ktk janga hili ccm
Ndugu yangu kwanini iwe si kosa kwa mapenzi wa anasa kumfata Diamond au ali kiba, lkn iwe kosa kwa wapenzi wa Imani kumfata kiongozi wao. Sheikh Ponda ndio taa yetu. Si kosa iwapo tutamfata.Tukuanza kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zetu tutapoteza dira kama taifa.
Makosa makubwa kufikiria hivyo, na hakuna chochote kilichofanyika official kuzuia waislam wasichaguliweTupatie mjumbe mmoja muislam ktk nafasi za wajumbe wa kuteuliwa
Wewe ni muislam, ulishawahi kubambikiwa hayo makosa ya u gaidi? Umesema 2020 sheikh Ponda alitoa muelekeo kuwa waislam mmeiunga mkono CHADEMA, kisha hapa unasema si CHADEMA wala CCM wenye mpango wa kubadilisha hiyo sheria ya u gaidi hauoni kama nyinyi waumini ni bendera fuata upepo?Rudia tena kusikiliza ushauri wa wakili.
Jiulize kwanini ni Mashekhe tu ndio wanakamatwa na hufunguliwa kesi za ugaidi.
Na kwanini hukaa ndani zaidi ya miaka 10. Unawezaje kupata ushahidi baada ya mwaka wa 11 iwapo mwaka wa kwanza tukiweza kuupata.
Ni kesi za kubambikia, hakuna ushahidi lkn wanalamatwa kwa kuwa wao ni waislam, kwa kuwa wao wanafuga ndevu.
Hii sheria ni ya kibaguzi. Na si ccm, si chadema wako tayari kuifanyia marekebisho zaidi ya ACT.
Kuna kosa gani kwa waislam kuiunga mkono ACT.
Hivyo vifungu havipo kwa sababu hii ni nchi iliyoamua kuwa na serikali isiyo ya msimamo wa kidini, ndio maana nashangaa unapotaka kuleta hoja ya dini kama kigezo cha kupata kiongozi wa ki serikali ambaye badala ya kwenda kusimamia maslahi ya wa Tanzania wewe unataka akasimamie maslahi ya wa islam.
Waislamu wameteswa nini tangu uhuru hadi leo, wamekatazwa kufunga Ramadhan? Kujenga misikiti ? Kuwaita wasioamini katika uislam makafiri? Wanatungiwa sheria zao binafsi za kuwakandamiza? Wanalipa kodi tofauti na wasio waislam? Au wamekatazwa kuia mke zaidi ya mmoja???!!
Ndugu kwa hiyo unapendekeza nini.Wazungu, waarabu na watu wengine wa bara la Asia wanajenga nchi zao ili wafurahie maisha hapa duniani. Waafrika, asante dini za kuletewa, tuko tayari kuharibu nchi zetu kwa matumaini ya kwenda kuishi kwa furaha kunakoitwa mbinguni/ahera baada ya kufa. Utumwa wa kifikra kupitia dini za vitabu vya kale ndiyo madhara makubwa zaidi yalotokana na utumwa na ukoloni