Jifunze kuandika comment inayoelewekaWaislam mna akili finyu sana Sheikh ponda awezi kuwa mbunge hadi asuj7die sanam7 ya samia ...sababu hizi hapa ....watanzania awatashiriki kupiga kura uchaguzi 2025 na watakae enda kuoiga kura watakuwa baadhi tu ya anaccm sasa hapo ponda atashinda namna gani uchaguzi vinginevyo iwe kwa siri anatumiwa na samia hivyo kuoewa ushindi sawasawa na maagizo ya samia.
Huyu mwamba kumbe ana busara sana aiseeHayo ni maoni yako ndio maana mimi niliwateuwa Waislam pekee badala ya kutoa wito kwa Watanzania
Najua matakwa yako kama ilivyokuwa ya kwangu awali ulipenda Sheikh Ponda aunge NRNE lakini baada ya kusikiliza ufafanuzi huu nikagundua njia ya ukombozi ni Ungangari. Wito huo chadema hawana kwasasa. Ngoja tuongozwe na Mzee aliyenyooka zaidi ya Lissu.
View: https://youtu.be/jRs0x2t5pqM?si=hK3na0tyI3Pz5rrY
Expert wangu,jifunze kujadili majambo bila kuwavunjia watu heshima kwa sifa yao,unasema waislamu hamna akili wakati unajadiliana na muislamu mmojaWaislam mna akili finyu sana Sheikh ponda awezi kuwa mbunge hadi asuj7die sanam7 ya samia ...sababu hizi hapa ....watanzania awatashiriki kupiga kura uchaguzi 2025 na watakae enda kuoiga kura watakuwa baadhi tu ya anaccm sasa hapo ponda atashinda namna gani uchaguzi vinginevyo iwe kwa siri anatumiwa na samia hivyo kuoewa ushindi sawasawa na maagizo ya samia.
Nitajie muislamu mmoja mwenye akili hapa tanzania ? Au kama wewe unazo akili niambie nikujaribuExpert wangu,jifunze kujadili majambo bila kuwavunjia watu heshima kwa sifa yao,unasema waislamu hamna akili wakati unajadiliana na muislamu mmoja
Nikisema wewe ndio huna akili kwakuwa unashindwa kujua unajadiliana na muislamu au waislamu wote nitakosea?
Jenga hoja na sio kashfa au matusi
Wewe ndio mpumbavu namba moja kwakuwa unashindwa kuchambua mamboSasa hapo logic yako ni nini au ndiyo yake tunayo yasikia kwa mashekh wapumbavu wanao sema tunyamaze tu kisa kuna mabaya kama hayo yakitendwa siku za nyuma watu wakanyamaza ...maana hoja za mashekh wa Tanzania hazina tofauti na maanithi wa akili ...wanawaambia watu kuwa wasipinge dhuluma kisa kuna mashekh walidhulumiwa ...au wasikemee mauaji kisa watu waliwai kuuliwa,mwembe chai ...tukisema waislamu ni wapumbavu mnasema tunatukana ....
Huwa nawapenda watu wenye kupayuka kama nyie,tamaa kivipiwaislamu wapumbavu tu ndio wanamfata Sheikh Ponda, huyu nae ni mganga njaa tu hana lolote lingine. Ukiona kiongozi wa dini anaingia kwenye siasa basi jua huyo ni mtu mwenye tamaa.
Sikuangalia video nilijenga hoja yangu kwa kupitia mashekh wa misikitini wanavyo semaga ...kuwa tusidai haki kisa wao awadai hakiWewe ndio mpumbavu namba moja kwakuwa unashindwa kuchambua mambo
Huyo mheshimiwa kwenye clip,ameeleza wazi kwamba Chadema hawapaswi kubezwa kwa hoja yao ya No reforms no Election kwasababu kwa maoni yao na mtazamo wapo sahihi
Lakini wao kama Act Wazalendo wana uzoefu huko zanzibar kuwa kupinga uchaguzi hakukuwapa matokeo mazuri,kwahiyo wao hawa opt kususia uchaguzi
Sasa huo ni mtazamo wao na maoni yao,nao wapo sahihi wasibezwe
Tatizo linakuja pale tunapotaka mawazo yetu na maoni yetu yakubaliwe na wengine kwamba ndio sheria
Huu ni ujinga mkubwa sana,ndio msemaji akasema ndio maana kuna vyama vingi vinavyobeba maoni tofauti
Unapojadiliano usikurupuke,tafakar,jenga hoja na pima yale mnayojadiliana
Think big
Tumfuate ,kwani wakati anaenda kule alitoa tangazo kwa umma ,acha kila mtu ale 50 zake tusipangiane maishaAcha udini wewe
Na wale wa Bakwata ambao wamefanywa jumuia ndani ya CCM ndiyo wenye akili?waislamu wapumbavu tu ndio wanamfata Sheikh Ponda, huyu nae ni mganga njaa tu hana lolote lingine. Ukiona kiongozi wa dini anaingia kwenye siasa basi jua huyo ni mtu mwenye tamaa.
Kipimo cha akili ni nini?Nitajie muislamu mmoja mwenye akili hapa tanzania ? Au kama wewe unazo akili niambie nikujaribu
Unawakosea sana Waislamu, hakuna dini yenye watu wapumbavu wote au werevu wote.Nitajie muislamu mmoja mwenye akili hapa tanzania ? Au kama wewe unazo akili niambie nikujaribu
Ni LOGICKipimo cha akili ni nini?
Tuanzie hapa,huwa nawapenda sana watu kama nyie
Kivip,ebu fafanua kwanza,huwa sipendi ujanja ujanga kwenye mijadala,ili tujadiliane vizur tujue kwanza kigezo cha kuwa na akili na kutokuwa na akili ni kipiNi LOGIC
Kwa hiyo ndiyo kwanza maishani mwako unasikia na kujifunza kwangu kuwa kipimo cha AKILI NI LOGIC ππKivip,ebu fafanua kwanza,huwa sipendi ujanja ujanga kwenye mijadala,ili tujadiliane vizur tujue kwanza kigezo cha kuwa na akili na kutokuwa na akili ni kipi
Au
Nikusaidie ni wakati gani unaweza sema huyu mtu ana akili au hana
Nakusubir
Hiyo video sitaangalia,usitake kunitoa kwenye reli expert wanguKwa hiyo ndiyo kwanza maishani mwako unasikia na kujifunza kwangu kuwa kipimo cha AKILI NI LOGIC ππ
Mfano wafanuzi hii hapa video msikie huyu shekh alivyo mpuuzi
Mtu mwenye akili ndogo au akili.mbovu huwa logic yake mbovu na dhaifu au hana logic kabisa..Hiyo video sitaangalia,usitake kunitoa kwenye reli expert wangu
Lete majibu ya swali langu kama huna,inahesabika madai yako ni ya kipuuzi na pita kushoto
Walau umejitahidi kuleta majibu kiainaMtu mwenye akili ndogo au akili.mbovu huwa logic yake mbovu na dhaifu au hana logic kabisa..
Logic (mantiki) ni sayansi ya kufikiri kwa mpangilio sahihi io8 kufikia hitimisho la kweli. Inasaidia kutofautisha hojq nzuri na sahihi (zinazo leta maana) na hoja mbaya na zisizo sahihi (zisizo na msingi)