Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

Wanahofia aibu pale kundi fulani litapotawaliwa na shule za serikali tu.
 
Kwa kifupi serikali haiwezi tena kusimamia huduma ya kijamii.. ..wafanye kitu kimoja wabaki na shule chache, wabinafishe idara ya Elimu ili ibaki biashara. Na wenyewe wabaki na shule wanazo weza ku-afford
Then wenyewe wabaki kama wasimamizi..tu. Hii itafanya shule, ziwe na ushindani mkubwa....
 
Huu ushauri ni wa ovyo kupata kutokea kwenye historia ya binadamu. Kigezo kikuu ni ufaulu. Mambo mengine ni mengineyo tu. Kuna shule za serikali zina kila kitu kushinda hata hizo SAINTS.. kwa mfano Old Moshi, Jangwani, Moshi Technical, Tanga Tech, Ndanda na zingine zinazoitwa za kitaifa lakini bado kuna wanafunzi wanapiga zero. Kwa mfano Machame Girls, Ashira na Weruweru wanakosa nini ambacho St Francis wanacho? Hizo sababu zako ni za nje ya chumba cha mtihani wa NECTA kwahiyo hazina mashiko.
 
Ukisikia shule flan imefaulu katika shule za wajinga utafurahi??
 
Kwa kifupi serikali haiwezi tena kusimamia huduma ya kijamii.. ..wafanye kitu kimoja wabaki na shule chache, wabinafishe idara ya Elimu ili ibaki biashara. Na wenyewe wabaki na shule wanazo weza ku-afford
Then wenyewe wabaki kama wasimamizi..tu. Hii itafanya shule, ziwe na ushindani mkubwa....
Hilo haliwezekani, shule za binafsi zilivyoruhusiwa tayari serikali ilikuwa imebinafsisha je mpaka leo shule za binafsi zinatosha kwa wanafunzi wote? je kuna aliyekatazwa kujenga shule?
 
Back
Top Bottom