Uchaguzi 2020 Wito: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na timu yake yote wajiuzulu

Uchaguzi 2020 Wito: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na timu yake yote wajiuzulu

Viroba vya kura!
4321890.jpg
 
2019 si upinzani ulisusia uchaguzi ule baada ya wagombea wao wengi kuenguliwa kihuni? Kipi kilitokea?

Wangeamua kususia huu uhuni na wizi wa hali ya juu tungeujuaje? Dunia ingeujuaje?
Unadhani kwanini Mkapa alitaka iwepo tume huru ya uchaguzi?
Dawa ni kususia chaguzi zote.

Kususia huko ndio kuta highlight upumbavu uliopo.

Kuendelea kushiriki chaguzi ambazo mnajua kabisa hazina mazingira yaliyo sawa kwa washiriki wote, ni uwendawazimu.

Anywho, endeleeni kushiriki na endeleeni kuwapa uhalali CCM.

Pia, endeleeni kulialia kuwa hakuna tume huru ilhali mnajua kabisa hatma yenu.

Huyo Mkapa angeyasema hayo ya tume huru ya uchaguzi kabla ya 1995, basi ningemwona wa maana sana.

Lakini kusema hivyo 2019 baada ya yeye kunufaika na hiyo hiyo tume isiyo huru, ni unafiki tu. 1995 na 2000 hakujua kuwa tume yetu ya uchaguzi si huru?
 
Kila jambo lenye mwanzo halikosi mwisho. Naona mwisho wa ccm na mafisadi wake ni mbaya sana.
 
Kupitia akaunti ya twitter ya Tundu Lissu,nimeona video(bila shaka ni huko Kawe, Dar-es-salaam) inayoonyesha rundo la kura feki huku Polisi wakishirikishwa kuzitambua/kushuhudia karatasi hizo za kura ambazo zimepigiwa kura mgombea wa CCM...
Ufutwe kwani mlivyokua mnapiga kelele mlidhani uchaguzi utasimamiwa na amstadamu tulieni matokeo yaanze kutolewa andaeni povu la kufua nguo za makamanda wote bongo
 
Billions za pesa za walipa kodi wamezitumia hawa wahuni kufanya hiki kituko cha hali ya juu ili tu kuiba chaguzi kwa haya maccm ambayo yamechokwa na Watanzania kila kona Nchini lakini kwa uroho wao wa madaraka yanatumia tumeccm/tume FAKE na polisiccm ili kuiba chaguzi kila mara. Sasa basi imetosha Charles Wilson Mahera na Kaijage na tume yetu wajiuzulu haraka sana na ikiwezekana wafunguliwe mashtaka kwa kuvuruga uchaguzi kwa makusudi.
Natamani mngekuwa mnasikiliza na akili kama mnavyosema labda mngeweza kuwashinda CCM. Siku mbili zijazo mtashangaa sana.
 
Chaijaba na genge lake nilishapoteza imani nao muda sana..
 
The beginning of the end........jitihada zote hizo za kuvuruga uchaguzi ni ili kuwepo serikali ya mseto..........sasa, hakuna mseto wala combine, SISIEM OUT!
 
Back
Top Bottom