Uchaguzi 2020 Wito: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na timu yake yote wajiuzulu

So?

Si ndo vizuri sasa kujua nani ni nani?

Au....?
Maalim Seif alisusia uchaguzi wa Zanzibar lakini Hamad Rashid wa chama cha ADC akashiriki na kuhalalisha uchaguzi ule. Vipo vyama tumeviona hata uchaguzi huu vinakauli za kuonesha kuwa pengine ni CCM Bs
 
Reactions: BAK
Umeng’ng’ania Mkapa Mkapa! Huyo Mkapa
Huyo Mkapa wako angekuwa kweli ni muona mbali kwa nini hakutumia ‘bully pulpit’ kuleta hayo mabadiliko pindi akiwa Rais?

Hakujua umuhimu wa tume huru?

Better late than never but never late is better.

He had a great chance to do it but didn’t do it.

He doesn’t deserve the credit you’re affording him.
Bado sijaona mbadala wa kususia chaguzi za maigizo.

Ni moja ya njia bora kabisa za kutilia shinikizo la mabadiliko.

Ni hoja yenye mashiko na inasimama kwa ubora wake.
 
Maalim Seif alisusia uchaguzi wa Zanzibar lakini Hamad Rashid wa chama cha ADC akashiriki na kuhalalisha uchaguzi ule. Vipo vyama tumeviona hata uchaguzi huu vinakauli za kuonesha kuwa pengine ni CCM Bs
Sababu yake ya kususia ilikuwa nini?

Maana sasa hivi anagombea tena.

Kama sababu zilizomfanya asusie uchaguzi wa wakati huo zimebadilika, ni sawa akigombea mwaka huu.

Lakini kama sababu hazijabadilika, basi atakuwa ni mtu asiye na msimamo madhubuti.
 
Nyani Ngabu hakuna mpinzani wa nchi hii ambae angeshika dola amefanya robo ya alichokifanya John Pombe Magufuli. Huo ni ukweli mchungu sana ila moyoni mwao wanajua
Wasiwalaumu watanzania ila wajilaumu wao wenyewe
Tupeni nchi muone usiishi kwa kukalili wewe,Ila ni kweli hakuna mpinzani ambaye angeweza kuminya democrasia, kutumia ubabe, kuvunja katiba, kujifananisha na mungu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Usiukimbie ukweli kuhusu kauli ya Mkapa si swala la kung’ang’ania. Kwani tungekuwa na tume huru haya yanayotokea leo hii kwenye huu uchaguzi yasingekuwepo.

Kususia uchaguzi kama ambavyo unadai ni solution ya hizi chaguzi FAKE kulifanywa mwaka jana lakini nakuuliza nini kilichotokea baada ya kususia kule hujibu?

Mkapa naye ni wale wale alikuwa madarakani miaka 10 lakini hakufanya lolote kuhusu tume huru ya Uchaguzi lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba alikuwa na uthubutu wa kusema hilo hadharani cha kushangaza hakuna hata mmoja ndani ya maccm, Serikali au wastaafu wengine waliounga mkono kauli yake. Japo hakufanya alipokuwa madarakani lakini anastahili pongezi BETTER LATE THAN NEVER.

Umeng’ng’ania Mkapa Mkapa! Huyo Mkapa
Huyo Mkapa wako angekuwa kweli ni muona mbali kwa nini hakutumia ‘bully pulpit’ pindi akiwa Rais?

Hakujua umuhimu wa tume huru?

Better late than never but never late is better.

He had a great chance to do it but didn’t do it.

He doesn’t deserve the credit you’re affording him.

Bado sijaona mbadala wa kususia chaguzi za maigizo.

Ni moja ya njia bora kabisa za kutilia shinikizo la mabadiliko.

Ni hoja yenye mashiko na inasimama kwa ubora wake.
[/QUOTE]
 
Umehitimisha vizuri sana
 
Aisee! Chadema kweli walijichanganya!
Ameshapiga ,itakuwa alijiandiksha ila naona wengi walidhani hajajiandikisha.
Sema issue ni hii sinema ya uchaguzi.
Habari za kura fake zimezagaa nchi nzima. Zilizoonyeshwa mitandaoni zimeipigia ccm kura.

Kawaida ya mashabiki hata wa mpira wa miguu hata goli haramu hushangilia sana tu.
 
Umehitimisha vizuri sana
Kigoma mama mmoja kaona kura zinaingizwa kituoni, waliokuwepo wamemuunganishia jamaa mwenye kura fake hadi wamemmkamata na kumnyang'anya.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Vituko vituko vituko.
 
Habari za kura fake zimezagaa nchi nzima. Zilizoonyeshwa mitandaoni zimeipigia ccm kura
Maelezo yanayotolewa juu ya kura fake, ni vigumu kudhibitishwa kama ni matukio ya kweli. Bado kuna maswali mengi kuliko majibu juu ya ukweli wa matukio hayo!!!
 
Kigoma mama mmoja kaona kura zinaingizwa kituoni, waliokuwepo wamemuunganishia jamaa mwenye kura fake hadi wamemmkamata na kumnyang'anya.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Vituko vituko vituko.
Mkuu, kirahisi rahisi hivi hivi unataka tuamini maelezo yako haya? Mkuu tutake radhi, aisee!
 
The beginning of the end........jitihada zote hizo za kuvuruga uchaguzi ni ili kuwepo serikali ya mseto..........sasa, hakuna mseto wala combine, SISIEM OUT!
Toa utopolo kichwani. Mwambieni Mbowe na genge lake out.Eti serikali ya mseto, wakati hata wabunge na madiwani kupata ni shughuli.Hivi nani mwenye akili zake anaweza kuchagua majizi na mawakala wa mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…