Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

Maneno aliyatoa Dar kwenye eneo la kanda maalum? Wacha nisimsemee, angalau nina imani na mhusika wa kuweza kujitetea.
 
Sirro kamtaka afike Moshi kesho na hawa wanataka afike kanda maalumu kesho anatakiwa afuate wito upi ?
Huo wa kanda maalum ndiyo ule-ule wa sirro amejirudi kupitia wasaidizi wake.
 
Polisi wako very sensitive na Chadema kuliko kitu chochote, yaani ukitaka kuona utendaji kazi wa polisi kwa speed ya mwanga jambo lihusu Chadema
Hawa lengo lao ni kumpotezea Lissu uelekeo wa campaign, na pia kupunguza mashambulizi dhidi Maghufuli. Hawana namna bali kuanza kumsumbua . Lakini WaTz leo ,wana akili sana

Wanaendelea kumpigia campaign bila yeye kuwepo uwanjani
 
Kosa la tatu la kiufundi hilo, kutoka Msajili, Mahera, sasa Siro. Mitego hii ya Lisu ilikwepwa sana tangu awasili. Intelligent ya kampen ccm mnakwama wapi. Ukitafuta sheria aliyovunja na ikakosekana... mtadhoofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…