Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

Sirro ameona Lissu akireport kituo cha Moshi itakuwa ni kampeni tena kila anapopita🤣
Kabadili gia angani
9623f2567cd935a98545840fa4037b17.jpg
 
Maneno aliyatoa Dar kwenye eneo la kanda maalum? Wacha nisimsemee, angalau nina imani na mhusika wa kuweza kujitetea.
 
Polisi wako very sensitive na Chadema kuliko kitu chochote, yaani ukitaka kuona utendaji kazi wa polisi kwa speed ya mwanga jambo lihusu Chadema
Hawa lengo lao ni kumpotezea Lissu uelekeo wa campaign, na pia kupunguza mashambulizi dhidi Maghufuli. Hawana namna bali kuanza kumsumbua . Lakini WaTz leo ,wana akili sana

Wanaendelea kumpigia campaign bila yeye kuwepo uwanjani
 
Kosa la tatu la kiufundi hilo, kutoka Msajili, Mahera, sasa Siro. Mitego hii ya Lisu ilikwepwa sana tangu awasili. Intelligent ya kampen ccm mnakwama wapi. Ukitafuta sheria aliyovunja na ikakosekana... mtadhoofu
 
Back
Top Bottom