Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kabadili gia anganiSirro ameona Lissu akireport kituo cha Moshi itakuwa ni kampeni tena kila anapopitaš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabadili gia anganiSirro ameona Lissu akireport kituo cha Moshi itakuwa ni kampeni tena kila anapopitaš¤£
Inabidi ahutubie mikutano kama 8 hivi akiwa anatafakari kituo cha kureport.Kwahiyo anaitikia wito upi wa Moshi au Dar ?
Mshirika wangu wa kale happy to see you here again. Najua hutanifahamuYana mwisho haya
Wanajichanganya sana sasa naona dalili za ushindi wa lisu wataendelea kujichanganya mwisho wa siku wanakuja kustuka wanamtangaza mshindi maana kujichanganya huku sio kwa kawaidaSirro ameona Lissu akireport kituo cha Moshi itakuwa ni kampeni tena kila anapopita[emoji1787]
Sirro kamtaka afike Moshi kesho na hawa wanataka afike kanda maalumu kesho anatakiwa afuate wito upi ?Inabidi ahutubie mikutano kama 8 hivi akiwa anatafakari kituo cha kureport.
Huo wa kanda maalum ndiyo ule-ule wa sirro amejirudi kupitia wasaidizi wake.Sirro kamtaka afike Moshi kesho na hawa wanataka afike kanda maalumu kesho anatakiwa afuate wito upi ?
Tawi la CCM wameanza kuisaidia ccm kumfanyia fujo Tundu lisuSarakasi za kuitwa Tundu Lissu polisi sasa zimehamia kanda maalum ya Dar es Salaam kesho.
View attachment 1587470
Kwa hiyo haizingatiwi tena ushahidi kwa kigezo cha "geographical jurisdiction" tena.Barua hii hapa kutoka Kanda maalumu ya Dar es salaamView attachment 1587461
Hawa lengo lao ni kumpotezea Lissu uelekeo wa campaign, na pia kupunguza mashambulizi dhidi Maghufuli. Hawana namna bali kuanza kumsumbua . Lakini WaTz leo ,wana akili sanaPolisi wako very sensitive na Chadema kuliko kitu chochote, yaani ukitaka kuona utendaji kazi wa polisi kwa speed ya mwanga jambo lihusu Chadema
[emoji23][emoji23][emoji23],jamaa wanatype huku wanatetemeka, kosa la kwanza tayari hilo"Chana cha democrasia" ndio chama gani hiki?
Kosa la tatu la kiufundi hilo, kutoka Msajili, Mahera, sasa Siro. Mitego hii ya Lisu ilikwepwa sana tangu awasili. Intelligent ya kampen ccm mnakwama wapi. Ukitafuta sheria aliyovunja na ikakosekana... mtadhoofuHawa lengo lao ni kumpotezea Lissu uelekeo wa campaign, na pia kupunguza mashambulizi dhidi Maghufuli. Hawana namna bali kuanza kumsumbua . Lakini WaTz leo ,wana akili sana
Wanaendelea kumpigia campaign bila yeye kuwepo uwanjani