Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

Bibi unalazimisha Yesu myahudi awe mtume wa waislamu[emoji28]
Sio Yesu tu, kuanzia Adam Nuhu, Ibrahim Mussa, Ishaka, Yaakoub wote hao na wengine ni mitume wa Kiislam.

Usichanganye Uyahudi kizazi na na mnayiita "dini ya kiyahudi.

Soma kijana usidanganywe, nyie ndiyo wale mnaofikiri mpaka nchi inayojiita "Israel" kuwa ni dini, hamuelewi kuwa hiyo Israel ni nchi yenye Waislam, wakristo na wasio na dini pia. Ni tatizo la ujinga tu, hakuna zaidi.
 


1. Wewe ni mjinga wa hali ya juu.
2. Attention seeker.
3. Unaugua ugonjwa wa akili.
 
Gombaneni mi simo.
Your browser is not able to display this video.
 
Huo waraka ulikuwa kwa ajili ya waumini wa katoliki tu ?... Kama ni hivyo, hayo makundi yanayoishambulia Tec binafsi badala ya kujikita kwenye huo waraka wanalenga nini ?
 
Kwa majibizano ya hapa naona kabisa watu tunatofautiana ujuzi katika kufikiri mada tofauti tofauti.

Kuna watu wapo vizuri kwenye kuchangia mada
1.Za dini(yakwakwe)
2.Siasa
3.Mahusiano
4.Sheria
5.Udaku
6.Mapenzi
7.Uchawa
8.Uchawi
9.Kimataifa
10.
N.k
Sasa kwenye mambo nje na anayojua hupuyanga vibaya sanaaaa na hujishushia heshima katika yale anayoyajua...
 
Huu mshangao umeutoa wapi? Nani amekataza?
 
Ujinga umekufanya ukose maarifa. Na utaangamia kwa ujinga wako.

Mnadanganywa, nanyi kwa uduni wa akili mnaamini. Uislam hauna zaidi ya miaka 700 tangu uanze. Uislam umeyachukua mambo kadhaa ya agano la kale kutoka kwenye biblia. Waulize waliosoma degree of divinity watakuelewesha uislam ni nini, ulianza lini na katika mazingira gani.

Nchi za kiislam huwa hawataki hata watu wahubiriwe ukweli ili hatimaye waumini wafanye maamuzi kwa kadiri ya uelewa wao. Kwa sababu wanajua, hawataki watu wayajue yaliyofichika.

Wewe ongelea uliyolishwa na kuyameza bila ya ufahamu wala maarifa. Huujui ukristo na hutaujua isipokuwa pale tu utakapofunuliwa na Roho wa Mungu.
 
Yohana 10:30 na yohana 15:23
Ukimtuma mtu akuwakilishe mahaliKwa jina lako, ujue umejituma wewe na atachowakilisha yatasemekana ni mawazo Yako wewe uliyemtuma.
Mambo ya ROHONI hutambulikana Kwa jinsi ya ROHONI.

Waliosaini mkataba kati ya DPW na serikali ni wengine Lakini lawama zinaenda Kwa Mh Rais Samia, Kwa sababu walitumwa na yeye
 
Unaweweseka tu.Hakuna ushauri wa maana hapo.Sisi binadamu tuna akili na tumepewe tuzitumie vizuri kuchambua mambo. Muhimu huo uchambuzi na nyaraka isiwe kwa kuvutia maslahi ya kidunia kwa kutumia imani japo jambo lenyewe linajionesha wazi kuwa halihusiani na imani za kidini.
Tatizo wakatoliki wenyewe hawawezi kuona kasoro zilizomo kwenye nyaraka zao.Waislamu na madhehebuj nyengine za kikristo ndio watakaoona na si vibaya kuwashitua kidogo wanapojisahau kwenye nchi yenye imani nyingi.
 
Sema Bibi wewe ni Mjinga sana, unatakiwa ukazwe kisawasawa akili ikukae sawa.
 
Faizafoxy ni jihadist mkuu huyo hawez kukuelewa yupo tayar ku wear Xplosives mwilin!!
 
Imagine this mindset 👆🤣🤣
 
Kila mtu ashinde mechi zake!!
 
quran ni toilet paper ndo maana sweeden wameichoma hakuna kitu mmefanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…