Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

Wanabodi,

Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!

Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.

Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.

Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.

Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.

Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.

Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.

Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!

Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!

Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).

Paskali.
 
Sio Yesu tu, kuanzia Adam Nuhu, Ibrahim Mussa, Ishaka, Yaakoub wote hao na wengine ni mitume wa Kiislam.

Usichanganye Uyahudi kizazi na na mnayiita "dini ya kiyahudi.

Soma kijana usidanganywe, nyie ndiyo wale mnaofikiri mpaka nchi inayojiita "Israel" kuwa ni dini, hamuelewi kuwa hiyo Israel ni nchi yenye Waislam, wakristo na wasio na dini pia. Ni tatizo la ujinga tu, hakuna zaidi.
Kama ilivyokuwa Iraq enzi za mbabe Saddam Hussein,waziri mkuu wake wa muda mrefu alikuwa anaitwa Tariq Aziz alikuwa mkatoliki saaafi kabisa,sawa sawa na pale Kahama Shinyanga utakutana na waburushi kibao tu wakatoliki na watu hawataki kujua Hilo pia.
 
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.

Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.

Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.

Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.

Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.

"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?

Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".

Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Uko sahihi kabisa kama sisi wakristu hatuingilii mambo ya waislamu na Quran Yao na hatumjui Wala kumuamini mtume muhammad tunachojua sisi wakristu ni kuwa mtume muhammad alileta dini iliyofungamana na majini vitukuu wa mashetani.Lakini pamoja na hayo yote hatuwasumbui waislamu tumewaaacha na imani Yao.Huko ndio kuishi kwa kuheshimu hata Imani za wengine ili mradi Kila Mmoja apate uhuru wa kuamini na kuabudu anakopataka yeye
 
Marekani imeconfirm kuwa inakishikilia chombo kutoka angani na maiti za marubani waliokufa baada ya ajali ya chombo hicho

Swali langu je dini zetu zinasemaje kuhusu hao viumbe? je vitabu vyetu vitakatifu vimewataja hao viumbe? au ndio Majini na Mapepo kutoka anga za mbali?

Haya ndio maswali tunatakiwa tujiulize na sio kutukanana.
 
Paskali bwana eti unawasemea Bakwata nao wangetoa waraka wa kuunga mkono dp wedi.

Hiyo mamlaka unaipata kwa nani kuamini Bakwata ni lazima wangekuwa kinyume na TEC?
 
Wanabodi,

Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!

Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.

Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.

Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.

Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.

Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.

Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.

Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!

Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!

Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).

Paskali.
Ndugu Mayalla, Kwanza kabisa nakusihi usiangaike na watu wa aina ya Faiza ambao wanaingilia Imani za watu wengine. Ni washari wasiyoweza kuzuia jazba zao pale wanapikutana na hoja kinzani.

Lakini pili husipende kufikiri kwa niaba ya wengine ukidhani na wao wanafikiri kama unavyofikiri wewe. Unawapongeza BAKWATA kwa kutotoa waraka kupinga ule wa TEC!! Je, BAKWATA walikwambia kuwa wanapingana na waraka wa TEC.? Hizi ni hisia zako. Mpaka hapo watakaposema wenyewe hakuna anaejua msimamo wa BAKWATA kwenye huu mpango wa ubinafsishaji wa bandari ambao wengine mnauita uwekezaji.

Baadhi ya wafuasi na waumini wa kanisa katoliki kama ilivyo kwa wale wa Kiislamu hawakubaliani na waraka wa TEC. Ni Uhuru wao kama Wantanzani. Hivyo husichukulie mitizamo ya wafuasi wa dini fulani ukadhani ndiyo msimamo wa taasisi inayoongoza hao waumini. BAKWATA umeikosea sana kuilisha maneno yako mdomoni mwao ukidhani ndio mtizamo wao ktk hili sakata la bandari.

Ni bahati nzuri leo Serikali imeondoa mabadiliko ya Sheria kuhusu rasilimali za Taifa Bungeni. Hii ni hatua nzuri baada ya wazalendo wenye uchungu na raslimali zao kupaza sauti. Najua wanafiki wenye njaa ya furusa watapiga u-turn na maneno kuipongeza serikali hili hali mwanzo walikuwa ni wachombezaji hadi mishipa ya shingo inawasimama. Lakini binadamu ndivyo tulivyo, hasa wale wenye kutanguliza matumbo yao kwanza bila kujali maslahi ya walio wengi na kizazi kijacho.

Ni rahi yangu kwako ndugu Mayalla, ikiwezekana, vitu vingine hasa vya kufikiria tu, usipende kuwa wa kwanza kuviandika.
 
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu
This is very low. Kwa hiyo Wakristu wakitoa waraka kulaani utoaji mimba au wizi, itatarajiwa vile vile waisilamu watoe waraka kuunga mkono utoaji mimba na wizi?
 
Back
Top Bottom