MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Nukuu mujarabKumekucha
Shekhe Mwaipopo: Katoliki ndio Dini kubwa Duniani kote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nukuu mujarabKumekucha
Shekhe Mwaipopo: Katoliki ndio Dini kubwa Duniani kote
1) Waislam hatutazami utajiri au umasikini au rangi ya au utaifa wa mtu kuwa ndiyo ubora wake, Kiislam mbora kati yetu ni mcha Mungu . Kumbuka hilo.We ajuza ni mjinga sn, wakristo wapo mbali sn ukilinganisha na uislamu wako nikupe makavu mjinga wewe, nitajie muislamu hata mmoja tajiri ukitoa waraabu na wahindi, hakuna hata hospitali ya maana wala shule za maana ni ujinga tu unakusumbua wewe ajuza
Mjinga mkubwa wewe, Dangote ni mtanzania? ongelea Tanzania, eti Ikulu yule mwarabu alikuwa ni mtanzania? UDSM ukienda 75% ya wanafunzi ni wakristo, chuo kipo Dar na Dar ni ya wazaramo tafuta pale wazaramo kama wanafika hata 50 wengi ni watu wa kuja kutoka mikoani, Dar sahivi imetekwa na wakinga na wachaga nyie mnazidi kusogezwa kwa ujinga wenu huko pembezoni.1) Waislam hatutazami utajiri au umasikini au rangi ya au utaifa wa mtu kuwa ndiyo ubora wake, Kiislam mbora kati yetu ni mcha Mungu . Kumbuka hilo.
2) Kuhusu shuke shule labda huelewi hata neno madarasa kalianzisha nani na wala huelewi chuo kikuu cha kwanza duniani kakianzisha nani. Fanya utafiti utanielewa. Msome kidogo Fatima SAlFikhri. Bila kukupeleka mbali sana, kasome tu historia ya Dar Es Salaam, na Ikulu hii ya Dar unayoijuwa wewe, ilikuwa nini ile na iliansisha na nani na ilikuwa inaitwaje?
3) Kuhusu hospitali pia, hue;lewi nani aliianzisha unayoiita wewe hospitali leo hii duniani.
Nna uhakika hata huelewi aliyeianzisha unayoiona leo inayoitwa Muhimbili hospital, bila kwenda mbali.
Ndugu yangu Uislam ndiyo uliyokuletea wewe kitu kinachoiwa ustaarabu, unaelewa maana ya "ustaarabu"?
Kama hiyo haitoshi, kwa kukuongezea tu, kamsome kidogo Aliko Dangote ni nani?
Pole sana.
Sasa nikufurahishe kidogo kwa hii clip, upate cha kuongea:
View attachment 2732512
Kitabu kilichoandikwa na wasiojulikana?? Dharau na kufuru kwa Imani za watu wengine. Wakati hicho cha kwako kinaandikwa ulikuwepo au pia unasoma tu maandiko kama wanavyofanya wengine? Very poor argument! Kama Yesu anakuhusu basi mchukuwe huyo anaekuhusu wewe, na mwache Yesu anaewahusu wengine.Hii mada sikuileta mimi.
Yesu mimi ananihusu sana kwenye Imani yangu, unataka niende kinyuma na Qur'an kwa kitabu kilichoandikwa na wasiojulikana? soma:
Qur'an 5:17. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu. Sema: Ni nani mwenye kumiliki cho chote mbele ya Mwenyezi Mungu ikiwa Yeye angetaka kumuangamiza Masihi mwana wa Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. Huumba apendavyo. Na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu. 17
Mjinga mkubwa wewe, Dangote ni mtanzania? ongelea Tanzania, eti Ikulu yule mwarabu alikuwa ni mtanzania? UDSM ukienda 75% ya wanafunzi ni wakristo, chuo kipo Dar na Dar ni ya wazaramo tafuta pale wazaramo kama wanafika hata 50 wengi ni watu wa kuja kutoka mikoani, Dar sahivi imetekwa na wakinga na
Mjinga mkubwa wewe, Dangote ni mtanzania? ongelea Tanzania, eti Ikulu yule mwarabu alikuwa ni mtanzania? UDSM ukienda 75% ya wanafunzi ni wakristo, chuo kipo Dar na Dar ni ya wazaramo tafuta pale wazaramo kama wanafika hata 50 wengi ni watu wa kuja kutoka mikoani, Dar sahivi imetekwa na wakinga na wachaga nyie mnazidi kusogezwa kwa ujinga wenu huko pembezoni.
Ngoja nikwambie kitu Faiza Foxy, ukitaka kufanya reference ya kidini, usitoe vifungu kwenye kitabu Cha Imani yako kujibu hoja ya Imani nyingine. Wengine hakituhusu, tunakiona kama vitabu vingine tu vya hadithi. Na hiyo ndo Imani, tusikashifiane.Hii mada sikuileta mimi.
Yesu mimi ananihusu sana kwenye Imani yangu, unataka niende kinyuma na Qur'an kwa kitabu kilichoandikwa na wasiojulikana? soma:
Qur'an 5:17. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu. Sema: Ni nani mwenye kumiliki cho chote mbele ya Mwenyezi Mungu ikiwa Yeye angetaka kumuangamiza Masihi mwana wa Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. Huumba apendavyo. Na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu. 17
Bila kusahau ruzuku mnayopata kupitia kodi zetuWe ajuza ni mjinga sn, wakristo wapo mbali sn ukilinganisha na uislamu wako nikupe makavu mjinga wewe, nitajie muislamu hata mmoja tajiri ukitoa waraabu na wahindi, hakuna hata hospitali ya maana wala shule za maana ni ujinga tu unakusumbua wewe ajuza
Ww ni muongo mzushi na hayawani pia lete hcho kitabu khabbiith mmoja weUzinzi uko pale pale, Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo. Tafsir ya Jalladin Suyut juzuu 3 ukurasa 930 inasema: Seyyidna Umar bin Katab alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Dini ya uzinzi unaileta humu?
1ur'ann imehifadhiwa vifuani mwa watu toka kuteremshwa kwake.Kitabu kilichoandikwa na wasiojulikana?? Dharau na kufuru kwa Imani za watu wengine. Wakati hicho cha kwako kinaandikwa ulikuwepo au pia unasoma tu maandiko kama wanavyofanya wengine? Very poor argument! Kama Yesu anakuhusu basi mchukuwe huyo anaekuhusu wewe, na mwache Yesu anaewahusu wengine.
Busara zinanituma nisibishane na mtu kama wewe!
Tulikua tunaishi bila ata ya hizi dini tulikua tunajua makabila na itikadi za makabila tu,alafu Leo watu tupigane kisa dini itakuwa utahira sana maana ata HOA waliotuletea hizi dini tunaona maisha yao ya Sasa hivi yalivyo mbali na dini zinavyosemaKila mmoja na atetee dini yake, lakini kuvumiliana naona imefika mwisho,
Kwahiyo wacha tu watu wachinjane
Atakaetangulia atatusubiri huko huko na
Atakaechelewa tutamsubiria huko huko
Usikiogope, soma ukweli uuelewe.Ngoja nikwambie kitu Faiza Foxy, ukitaka kufanya reference ya kidini, usitoe vifungu kwenye kitabu Cha Imani yako kujibu hoja ya Imani nyingine. Wengine hakituhusu, tunakiona kama vitabu vingine tu vya hadithi. Na hiyo ndo Imani, tusikashifiane.
Waisrael na waarabu ni dugu moja Baba yao ni Ibrahim. !Uislam ni Dini ya Wayahudi pia
Wewe unateswa na udini lazima nikupe makaliUpo sahihi.
Nimeiona kwako "religious tolerance". Natumai mleta mada nae anaiona.
Kwani hospitali zinatibu wakristo pekee?Bila kusahau ruzuku mnayopata kupitia kodi zetu
Kazi kweli kweli !Gombaneni mi simo.
View attachment 2732211
Mimi nikiwa mdogo nilifundishwa kwamba kama unaiamini dini yako sana na unaipenda basi usijaribu kuidharau Dini ya mtu mwingine yeyote yule kwa sababu kama ukiikejeli Dini ya wenzio nao wataikejeli Dini yako !!Marekani imeconfirm kuwa inakishikilia chombo kutoka angani na maiti za marubani waliokufa baada ya ajali ya chombo hicho
Swali langu je dini zetu zinasemaje kuhusu hao viumbe? je vitabu vyetu vitakatifu vimewataja hao viumbe? au ndio Majini na Mapepo kutoka anga za mbali?
Haya ndio maswali tunatakiwa tujiulize na sio kutukanana.
Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.
Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.
Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.
Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.
Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!
Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!
Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).
Paskali.
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Mkuu unalosema, it's the ideal situation ila hizi dini zetu🙃🙃🙃. Biblia ktk revelation 17:2 inasema watu wamelevywa na hizi dini ( za Uongo)Bibi unalazimisha Yesu myahudi awe mtume wa waislamu[emoji28]
Tupendane na tuipende Nchi yetuMimi nikiwa mdogo nilifundishwa kwamba kama unaiamini dini yako sana na unaipenda basi usijaribu kuidharau Dini ya mtu mwingine yeyote yule kwa sababu kama ukiikejeli Dini ya wenzio nao wataikejeli Dini yako !!