Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliowataja wote walifunga siku 40, wangekuwa Waislamu wangefunga siku 29 kwa kuangalia mwandamo wa mwezi.Sio Yesu tu, kuanzia Adam Nuhu, Ibrahim Mussa, Ishaka, Yaakoub wote hao na wengine ni mitume wa Kiislam.
Usichanganye Uyahudi kizazi na na mnayiita "dini ya kiyahudi.
Soma kijana usidanganywe, nyie ndiyo wale mnaofikiri mpaka nchi inayojiita "Israel" kuwa ni dini, hamuelewi kuwa hiyo Israel ni nchi yenye Waislam, wakristo na wasio na dini pia. Ni tatizo la ujinga tu, hakuna zaidi.
Umekuja kujikosha baada ya Jana kuwadharau Maaskofu wa Imani yako. Nani atakuamini wewe à mbaye unadharau Viongozi wa dhehebu lako Hadi kuita Waraka wao ni kikaratasi tu? Wakati unaandika Jana hukujua haya? Au hukujua NASADIKI ina maana gani katika Ukatoliki wako?Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.
Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.
Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.
Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.
Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!
Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!
Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).
Paskali.
Ndugu Faiza Foxy, nadhani wewe ni mtu mzima, Umungu wa Yesu unawahusu wanaohamini hivyo. Huna sababu ya kugeuza mitandao ya kijamii kuwa msikiti au kanisa. Unamdhiaki Yesu, uvumilie tutakapoanza kumdhiaki huyo mnaemuita mtume wenu!! Kama ni kujadili siasa jikiteni kwenye hoja, usijifanye unaujuwa Ukristo kuliko Wakristo wenyewe!!Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Unauliza Yesu au ISSA? Ongea sawa sawa ueleweke.Wapi yesu alisema "Mimi Mungu", usiirudie hiyo kauli ni kumkufuru Mungu.
Bwana Paskali amani ya Mungu iwe nawe, kwanza napenda kukushukuru kwa uzi wako una maana kubwa sana lakini unataka upembuzi wa kisomi na kiimsni ili kuufanya uwe na athari zaidi, kwa jinsi ulivyoundika ni kama tu kutaka kuwe na tolerance za kiimani kama utamaduni wa kuvumiliana na kustahamiliana katika tamaduni zetu za kitanzania za utani wa makabila, na kama ulivyotolea mifano yako. Lakini umeshindwa kuangalia kwa upande wa pili kuwa kuna imani zina amini kinyume kabisa na imani nyingine kutokana na mafundisho ya imani zao, hivyo tolerance iwe kwa kila mwenye imani kwa imani yake, awe mstahamilivu pindi anapoona imani yake imeshambuliwa, aidha awe na hoja ya kukinaisha kwa hao wanaopinga au wastahamili tu katika kupingwa kwao au wakubaliane na hoja za imani pinzani. Wewe ni mwanahabari tena ni msomi wa sheria unafikiri kesi hii ikienda mahakamani nini hukumu itakayotolewa?Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani!
Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari!
Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu
Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.
Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!.
Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini!. Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya!. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!.
Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).
Paskali
Hii mada sikuileta mimi.Ndugu Faiza Foxy, nadhani wewe ni mtu mzima, Umungu wa Yesu unawahusu wanaohamini hivyo. Huna sababu ya kugeuza mitandao ya kijamii kuwa msikiti au kanisa. Unamdhiaki Yesu, uvumilie tutakapoanza kumdhiaki huyo mnaemuita mtume wenu!! Kama ni kujadili siasa jikiteni kwenye hoja, usijifanye unaujuwa Ukristo kuliko Wakristo wenyewe!!
Kanisome tena.Unauliza Yesu au ISSA? Ongea sawa sawa ueleweke.
Kijana wacha wivi mbna umeikata aya? Wewe mzungu wa kanisani huko ambae yeye kahasiwa, kakuhalalishia mmoja tu> Jisomee hiyo aya bila kukata, hujaona hapo "wake" wala "mahari"? sasa kwa mke,uzinzi otoke wapi tena? Ona haya kidogo.:Quran 33:50 Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wanawake wote...mabint wa Ami zako, mabint wa mashangazi zako, mabint wa wajomba zako...na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwako....DINI ya uzinzi Mtume wake akiongoza uzinzi unaileta humu?
sisi pia tunaamini Allah ni mhuni mmoja tu wa kufikirika kutoka kwa mpenzi wako muhammad.Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu,
hakuna ushahidi ama huutaki ushahidi unaopewa!!!!naona debate nyingi za waislam waliovimbiwa futari huanza madai haya,wakipewa ushahidi wa andiko wanamrukia paul kwamba alichokiandika hawakiamini.yaani ni mwendo wa kuchezesha kalio tu sindano zikiwaingia.ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
nyinyi kenge hamna yesu mna msela mnamwita Issah,aliyezaliwa chini ya mtende.Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
ndio maana kuna kitu kuvumiliana,wewe mwenyewe unakwenda kuwa demu wa mwanao Akhera na uko unakenua tu.Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
lazima mshoboke naye sababh yule babu yenu mbakaji wa kitoto hana mvuto kwa tendo lolote hapa duniani,zaidi ya kutembeza kia mpaka kwa mkwewe.Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
sasa sisi tuko na Yesu,we dont give a shit about allah even muhammad,ghafla uje useme Yesu anakuhusu😂😂😂,umevuta bangi ya kalio??Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
unataka aseme Mungu halafu aombe ibada kma Allah!!acha ufala wewe mama.Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
biblia sio kitabu cha Mungu,Mungu hana kitabu wewe kuku.Biblia siyo kitabu cha Mungu,
kajifunze kwanza maana ya biblia,inaonekana vitu simple vya msingi huvijui.hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia.
kwahiyo ukikuta neno Quran ndani ya Quran ndio kunahalalisha uhalali wake???Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Kwa kweli mkuu,hizi dini zinatufaa kama tukiwa watulivu na Kila Mmoja akaheshimu dini na imani ya mwenzake,kwa upande mwingine tujifunze na tuelimike zaidi,,learning about the universe and the entire solar system and the infinite galaxy.Maana hapa tuko Katikati tu ya galaxy Moja tu,milky way galaxy,then Kuna billions and billions of galaxies.Kote huko tujiulize Kuna viumbe na kama vipo vinamtazamo gani kuhusu Muumba Mmoja/Mungu.Marekani imeconfirm kuwa inakishikilia chombo kutoka angani na maiti za marubani waliokufa baada ya ajali ya chombo hicho
Swali langu je dini zetu zinasemaje kuhusu hao viumbe? je vitabu vyetu vitakatifu vimewataja hao viumbe? au ndio Majini na Mapepo kutoka anga za mbali?
Haya ndio maswali tunatakiwa tujiulize na sio kutukanana.
Quran 17:85 inathibitisha ukweli kuwa Waislamu mna elimu ndogo ya kiroho, wewe ukiwa mmoja wao. Unadhani Yesu ndio ISSA? Yesu alifuunga siku 40, ISSA alifunga siku 29 au 30 kwa kuangalia mwandamo wa mwezi, hawa watakuwa mmojKanisome tena.
We ajuza ni mjinga sn, wakristo wapo mbali sn ukilinganisha na uislamu wako nikupe makavu mjinga wewe, nitajie muislamu hata mmoja tajiri ukitoa waraabu na wahindi, hakuna hata hospitali ya maana wala shule za maana ni ujinga tu unakusumbua wewe ajuzaElewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Ni mpumbavu pekee anaweza kuukosa ule waraka na wakati umechambua mambo mengi sn mpk ajira za watanzania na wakatoa na ushauriWaraka ukiusoma hauzungumzii maswala ya kidini, Bali umechambua mkataba Kati ya serikali na Dp world kipengele baada ya kipengele na kuonyesha madhaifu yake. Pia umegusa maeneo mengine Kama swala la Loliondo.
Ni waraka ambao umeandikwa kutetea maslahi ya nchi ya Tanzania hivyo Kila mwananchi Ana hali ya kuusoma na kuunga mkono au kuupinga kwa hoja na sio mtazamo was kidini Kama wengi wanavyoujadili.
Achana na huyo ajuza ni mjinga snSweden nao Wanasema Kuruani ni Makaratasi tu wakaichoma ile Q'uruan bhana 🤣🤣
Well saidHoja yako naiunga mkono mpaka pale tu tamko la wenye dini husika liwe na mantiki ya kuvunja amani au kuingilia maslahi ya wote.
Hili la TEC halina matatizo hayo niliyoyasema kwa hiyo siyo sahihi makundi mengine ya kidini kulishambulia, bali na wao waje na matamko yao au waliunge mkono Tamko la TEC!
Uzinzi uko pale pale, Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo. Tafsir ya Jalladin Suyut juzuu 3 ukurasa 930 inasema: Seyyidna Umar bin Katab alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Dini ya uzinzi unaileta humu?Kijana wacha wivi mbna umeikata aya? Wewe mzungu wa kanisani huko ambae yeye kahasiwa, kakuhalalishia mmoja tu> Jisomee hiyo aya bila kukata, hujaona hapo "wake" wala "mahari"? sasa kwa mke,uzinzi otoke wapi tena? Ona haya kidogo.:
50. Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 50
Si tumekubakliana ni watu wawli tofauti Sasa YESU anaingiaje kwenye Quraani na ISSA anaingiaje kwenye BibliaElewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Hili ni swali zuri sana mbona viongozi wa Dini hawajibu haya maswali wakati ambao hivi viumbe vieanza kushambulia vyombo vya anga vya Mwanadamu.Imani zetu za dini zinamtazamo gani kuhusu hayo,ya viumbe vingine hai kwenye galaxies nyingine.