Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini nadhani wa kwenye bible au biblia ni yesu au jesus na kweny quran ni Issa bin mariamElewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Waislamu wapuuzi sana eti majini ni viumbe vya MunguElewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Uislamu umeanza lini na ilianzishwa na naniSio Yesu tu, kuanzia Adam Nuhu, Ibrahim Mussa, Ishaka, Yaakoub wote hao na wengine ni mitume wa Kiislam.
Usichanganye Uyahudi kizazi na na mnayiita "dini ya kiyahudi.
Soma kijana usidanganywe, nyie ndiyo wale mnaofikiri mpaka nchi inayojiita "Israel" kuwa ni dini, hamuelewi kuwa hiyo Israel ni nchi yenye Waislam, wakristo na wasio na dini pia. Ni tatizo la ujinga tu, hakuna zaidi.
Tatizo wanapopoana kwa kejeli na kudharauliana.DINI zisiwe chanzo cha sisi kuchukiana na kutukanana mbona MABABU zetu walikuwa wakiabudu Mibuyu na Mizimu na walikuwa wanaelewana bila shida.
Wasituchoshe sisi tunataka mijadala motomoto.Tatizo wanapopoana kwa kejeli na kudharauliana.
YESU NI MUNGU kama hutaki jinyonge.Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Wee mwehu kweli kwani ndani ya korani yenu kuna mahali pameandikwa Yesu? Acheni kujikomba kwa kukabambikizia hako kamtume kenu kuwa ndiye Yesu!Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Level yako ya thinking ni doubtif au unafanya makusudi (NISAMEHE):
Why? Ule waraka wa TEC siyo wa dini. Ni legal document on bandari contract with Dubai, from religious group guided by experienced lawyers ON CONTRACT LAW/INTERNATIONAL LAW ON CONTRACTS from the Catholic church, not CANON LAW!! There is no specific guide for the Catholic Interpretation of national law and the Islamic guide for the interpretation of national Law!
Kwani biblia ambayo hiyo biblia yako ilitafsiriwa kuna jina la Yesu ?Wee mwehu kweli kwani ndani ya korani yenu kuna mahali pameandikwa Yesu? Acheni kujikomba kwa kukabambikizia hako kamtume kenu kuwa ndiye Yesu!
Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.
Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.
Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.
Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.
Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!
Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!
Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).
Paskali.
nani kasema bandari ni mali ya serikali? Bandari ni mali ya watanzania. TEC ni sehemu ya watanzania. Kuna wakati watu wachache lazima wasimame kuwatetea wengi, ikiwemo wewe na wengine wanakokuhusu.Waandike mambo yanayohusu kanisa , Mambo ya serikali yanawahusu kitu gani ? Serikali si ya Yesu wala Paulo
Unauliza majibu?Kwani biblia ambayo hiyo biblia yako ilitafsiriwa kuna jina la Yesu ?
Kwani Yesu anayetajwa kwenye biblia ametajwa kwenye kitabu cha waislamu "Quran"?Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Wakuu, wewe Faiza Foxy na Paskali Mayalla lenu moja mnataka kutulazimisha tuwaze mambo mengine Nje ya kujua mustakabali wa hatima ya Mkataba ama Makubaliano juu ya Bandari zetu na DP World.Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
🤝%💯 congratulation 📌🔨Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.
"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Sio Yesu tu, kuanzia Adam Nuhu, Ibrahim Mussa, Ishaka, Yaakoub wote hao na wengine ni mitume wa Kiislam.