Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua



Tunaminya taratibu, hadi maji yachemke 😂😂😂
From now ukilipia ume-bet , upate au ukose 😂😂😂 , 👾👾👾 Bots baby
 
Hivi huyu ndio role model wa ufipa mtetezi wa haki za binadam alikuwa anamtukana Magufuli nyumbu wanamshangilia na akaitisha maandamano uchwara. Leo mnagundua kuwa hana akili sawasawa.
 
Tunapoongea kuwa nyie sijui ndo chadema mnavyowaamini hawa sijui kimavi ,sijui surungi kwamba hamna akili mnaona ni jambo la siasi .sisi hatuna vyama ila hao mpaka mnawafauatilia ndo mnawapa kichwa nilikuwa nataka kusoma ishu zao ila kwa vile hawan adabu nikaacha kuwafuatilia mi miaka mingi hata 5 inazidi


kaeni muelewe watanzania wapo wanawapa kichwa mtu nasikia anapost mpaka video za faragha za watu mpaka porno bado mnamkubali kwa vile anajua kingereza😁😁😁
 
Joto ya jiwe ni kwa masikini walalahoi walioko Tz, na pengine hata hawana hatia, Ila wametokomezwa na muuaji!
 
Kuna mtu alipanda ndege kwenda kupiga naye picha ,,😃😃😃🙌🙌
 
Hiyo app ya mange ni mojawapo ya pepo au shetani, mtu akiwa na kisa na wewe tu anauza kwa mange wanakurusha duniani.

Hapa Tanzania wapo mastaa kibao wanaugulia uzalilishwaji na wengine hata ndoa ziko hatarini kufa kisa ni hiyo app.
Karma is a bitch....alisheherekea kufa kama vile kufa ni adhabu ya mtu mmoja. Sasa anamdhalilisha mgonjwa kama vile yeye hakuwa na mgonjwa miezi kadhaa iliyopita.
Ndege mjanja ananaswa na tundu bovu,,,By the way, hawa watu wa Kahe naona yale majani yao yanawavuruga
 

Una mwandikia nani kiingereza? Akijua mkeo au sista wako inatosha bwana.....nimejaribu kufuatilia miongoni mwa waswahili wakishajua (NO, YES) baas dunia yote yao 😄 huu ni ushamba haswaa. Badilikeni wakuu!
 
Una mwandikia nani kiingereza? Akijua mkeo au sista wako inatosha bwana.....nimejaribu kufuatilia miongoni mwa waswahili wakishajua (NO, YES) baas dunia yote yao 😄 huu ni ushamba haswaa. Badilikeni wakuu!
Suck my dyck.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…