Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Ila kuna haja yule bibi kijana achukuliwe hatua. Hii cyber bullying anayofanya imekithiri sasa.

Kupitia njaa yake ya kutaka pesa za watu za subscription amekosa mipaka ya utu kabisa.

Hakuna alie salama kwake. Kila mtu amekuwa guinea pig wake wa kupatia pesa kwa kumuandika kutokujali ukweli wa habari ama athari ya habari anazoandika, nyingi ya hizo zikiwa ni za kuzusha tu.

TCRA wa ban hiyo app tu kama kianzio.
 
Si alisalimiana na mama huko Marekani huyu? Au sio huyo?
 
Hii ni kinyume kabisa na maadili ya kazi yao
 
Hata ile sauti ya ruge mutahaba akiombewa haikuwa sawa kupost. Yani hali ya mgonjwa dakika za kufa inavyokuwa tete halafu atokee mtu arikodii mtu wangu wa karibu then aweke mtandaoni asee ningechoma hata nyumba ya ndugu yake kama yeye yupo mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…