Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Mwenyewe unachokizungumza hata ukijui ila kwa umeendelea kubisha so bisha. Kwani kabla ya App Mange alikuwa anapost habari zake wapi? Ukilijibu hili ndio jibu la swali lako au labda ww Mange umemjua baada kuanzisha App?
Kabla ya hapo alikuwa anapost kwenye ukurasa wake wa Instagram. Haya sema wewe alisambaza kupitia nini? Naomba usimung'unye maneno wala kuzunguka.
 
Wabongo ndio wanamuendekeza kwa kuwa wateja wake wa umbea anaotutumia.
💯%.

Cha kushangaza sasa, sielewi kwa nini Samia alikutana naye.

Alijishushia sana heshima. Naamini Samia anaunga mkono upumbavu wa huyo binti.

La sivyo, huwezi ukakaruhusu kakusogelee karibu hivyo halafu ukaambie eti nimefurahi kukuona.
 
Hako kadada ni ka'coward sana. Kanachonivunia ni kuwapo marekani na kanajua wamarekani huwa wanatambuwa freedom of speech kama moja ya haki za raia wao.
Kwa kweli nashangaa kwa nini mpaka sasa hakuna mtu aliyekavunja mbavu!

Ila huwa nasema kuwa ‘disrespect has no expiry date’. Ipo siku katalipa gharama kubwa sana.

Labda kama kataendelea kujificha ficha huko kaliko.
 
Mwenye hiyo video aliyopost anisaidie PM tafadhali,sitoisambaza
 
Ndio maana tunaagiza mpaka toothpick,

Taifa ambalo mtu anapata umaarufu kwa kutukana.
 
Una ushahidi na hilo au unabahatisha/fata mkumbo?
Sijajua kati yangu mimi na ww nani ana bahatisha? 👇👇

Kwa hiyo dada yako humu tunamsingizia? Ndio wale oya oya wanaviwiliwili kichwa wamemkabidhi Mange.
 

Huwa nawashangaa sana waafrika, hususani wabongo unakuta mtu anaongea kiingereza basi atajiona mtu wa pekee sana na kuwaona wasiojua ni wajinga na washamba flani hivi 😄 hii kitu huwa inanikera sana. Au unakuta mtu anaongea kiswahili(lugha kuu) alafu hapo hapo anaongezea na kiingereza ndani yake 😄 aise kiingereza kimevamiwa kamanda, wasukuma wanasema MASHKOLO MAGENI 😄
 
Jiangalie, mchuma janga hufikwa na wa kwao. Jitenge na laana inayo muandama Mange
mange anakula maisha anadunda tu na pesa ya kula anayo anaishi atakavyo au hiyo laana unayoiongelea ni ipi
 
Hivi unadhani wote ni ma English speakers?

All in all, Mange ni janga kwa taifa
I give him a time from tomorrow I m not going to search him in that point najua nitapata majibu yalio kamili kama ananipenda atanitafuta tena and if ikiwa forever bac alikuwa ana ni test.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wenyewe ndio tunampa kichwa.. tunaendekeza sana umbea badala ya mambo ya msingi; mtu anaenda kulipia kwenye app yake ili tu apate udaku.. na hapo pengine Kuna ndugu zake wana shida mpaka kwapani yeye anampa mtu pesa kwa ujinga tu uliojaa kichwani mwake.. amkeni
 
Alishafanya matukio mazito kuliko hilo mkuu....and yet bado akapiga picha na rais.....!!!

hakuna chochote atadhurika nacho juu ya hilo
 
Sikiliza. Mange anayemlea ni Rais Samia. Nilishangaa sana alipokwenda USA akapewa mpaka chance ya kupiga picha na rais. Realy? Mtu aliyekuwa anamtumsi mtangulizi wako kila kukicha leo hii anamwamia amefurahi kupiga naye picha? Haya, sasa ameamua ''kuuza'' matusi yake na uchafu wote kwa watanzania. Malipo anapokea mpaka kwa simu. Kwa nini serikali haingilii kati kuhakikisha ananyimwa mambo kama hayo? NB: Kwa taarifa yako kuna tetesi yeye na Kigogo walikuwa wanapewa taarifa na huu huu utawala wa sasa na ndiyo maana amechiwa afanye atakavyo sasa hivi.
 
💯%.

Cha kushangaza sasa, sielewi kwa nini Samia alikutana naye.

Alijishushia sana heshima. Naamini Samia anaunga mkono upumbavu wa huyo binti.

La sivyo, huwezi ukakaruhusu kakusogelee karibu hivyo halafu ukaambie eti nimefurahi kukuona.
Yale yote aliyokuwa anasema wakati wa Magufuli source yake ilikuwa kwenye utawala wa sasa. Kina Makamba, Mzee wa Msoga na huyu naye alikuwemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…