Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

As a matter of fact, kila mtu anaitumia kodi either directly or indirectly!
sasa huyu yeye katumia kodi yetu moja kwa moja na kwa upendeleo

waziri wa afya kasimama kusema Jay atatibiwa bure, who is he ????

kapigwa picha ili tuweze kuhakiki matumizi ya hela ya kodi yetu aliyopewa kwa upendeleo wa kuwa mtu maarufu wa sanaa ya muziki

it comes with the territory
 
Itoshe kusema naunga mkono hoja.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 

Unajuje labda ndugu zake?
 
Nadhani amegusa pabaya this time, Prof Jay hajawahi kuwa na shida na mtu na ana shida ambayo inaweza kunipata mtu yoyote wakati wowote..... kama alivyofanya Aristote akawekwa sawa, this time Mange atawekwa sawa.
 
Umeiona hiyo video na ukaona mazingira ya wakati inarekodiwa? Unafahamu mazingira ya kumhudumia mgonjwa ni tofauti na mazingira ya kumsalimia mgonjwa?

We umeiyonaje na unasema watu waache kulipia app? Sasa wewe si mmoja ya kumpa mange utajiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 


Mamlaka husika ichukue hatua za haraka dhidi ya wahusika.
 
Tatizo Mange mmemsifia na kumkuza hasa JF, akajiona Rambo ila ile App ina haribu reputation za watu wengi sana na kama isipofungiwa kuna siku inaweza sababisha damage ambayo haito kuwa na repair kwani Mange hajali.
 
Wewe ndio hujaelewa, nimeuliza, mazingira ya kumuhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa, yanafanana?
 
Inasikitisha sana,,,,Kama ndugu waliruhusiwa kumuona mgonjwa wachunguzwe pia,,,maana Kuna wengine huwa wanarecord Hata baba/mama/wajomba nk zao wakifanya ecg au kalazwa anampiga pic anapost eti “pray for my mom/dad” hatar sana

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] kweli hata mimi hushangaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…