Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
MmmhhhAnalamba 2.5billion per month...na hii nimekupa rough figure za buku buku tu per month, ukiweka wengine kama sie hapa tumelipia kwa mwaka kabisa, bado kwa walioko abroad amepandisha dau $$$
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhhhAnalamba 2.5billion per month...na hii nimekupa rough figure za buku buku tu per month, ukiweka wengine kama sie hapa tumelipia kwa mwaka kabisa, bado kwa walioko abroad amepandisha dau $$$
Alikuwa anafanya kazi nzuri sana..Alipokuwa anamtukana Magufuli walimshangilia sana!
Acha wavune walichopanda
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha machunguKama Ze Utamu ilifungiwa mazima bila shaka haa hii nayo itapigwa pin muda si mrefu.
sasa huyu yeye katumia kodi yetu moja kwa moja na kwa upendeleoAs a matter of fact, kila mtu anaitumia kodi either directly or indirectly!
Itoshe kusema naunga mkono hoja.Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Kuna mbongo hajawahi kugusa dola toka kazaliwa ni lazima akuuze aguse dola aone ikoje[emoji848]Ndio ni mwanafamilia itakuwa Kaitoa.si unajua unalipwa vijidola?? Watu wamekosa utu kisa pesa
ConfessionAkawa anasemaje?
Mi najua ile anamwomba zamaradi asimwache
taratibu chief na hizo mli, mli. Si kila alie mtandaoni ni shabiki wa udaku.Mlimtukuza wenyewe!
Wakati anamtukana Magufuli mlikuwa mnashangilia.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Na aliyerekodi na kumuuzia je? Na aliyeruhusuckitendo cha kurekodi je?Waadhibiwe? Wangapi Mkuu? Aadhibiwe yeye aliyerusha Video!
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Nadhani amegusa pabaya this time, Prof Jay hajawahi kuwa na shida na mtu na ana shida ambayo inaweza kunipata mtu yoyote wakati wowote..... kama alivyofanya Aristote akawekwa sawa, this time Mange atawekwa sawa.Watanzania wengi hawana shughuli za kufanya zaidi ya kukalia ujinga,yaani hapo watakuwa wamefurahi kuona Ile clip,Mimi Kama Mimi Ile clip imeniumiuza Sana,kwanza mgonjwa Yuko very serious halafu mpumbavu mmoja anachukulia Kama Mambo ya utani..Ila Mange Mungu afanye Jambo Sasa ili atulie.
Hapakua na watu wengine mule
Na watu wakafurah wakasema ndio uungwana na demokrasia... Wakaleta uteam magu na sami..Si alisalimiana na mama huko Marekani huyu? Au sio huyo?
Umeiona hiyo video na ukaona mazingira ya wakati inarekodiwa? Unafahamu mazingira ya kumhudumia mgonjwa ni tofauti na mazingira ya kumsalimia mgonjwa?
Ila yule sister ana njaa kama hakai ulaya anakula buku buku za wanyonge kiulaini kabisa
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Tatizo Mange mmemsifia na kumkuza hasa JF, akajiona Rambo ila ile App ina haribu reputation za watu wengi sana na kama isipofungiwa kuna siku inaweza sababisha damage ambayo haito kuwa na repair kwani Mange hajali.Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Wewe ndio hujaelewa, nimeuliza, mazingira ya kumuhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa, yanafanana?Hujaelewa. Hakuna aliyesema Mange yupo sahihi. Hoja ya Msingi ni why mnarukia kulaumu wauguzi wa Hosp ?
Huyo Ruge nae alirekodiwa na wauguzi wa Hosp ? Think
Siku hizi watu wanarekodi ndugu zao hasa wakiwa kwenye hali hizo kama ukumbusho kwao , wengine hurekodi wake zao wakiwa wanazaa, wengine hurekodi ndugu zao wakiwa wanakufa . Acheni Ujinga kuwa Na assumption bila ya elimu yoyote .
Mazingira Hosp ndio nini ,ndugu wanaingia lundo kumuona mgonjwa... at that time wauguzi wanakuwa hawapo wanawaachia muongee na ndugu yenu
Chance ya kuwa imerekodiwa na ndugu au marafiki wanaoenda kumuona ni asilimia 95% , kama Ruge alivyorekodiwa his last words
Acheni Ujinga
Na anazikusanya.Ila yule sister ana njaa kama hakai ulaya anakula buku buku za wanyonge kiulaini kabisa
Inasikitisha sana,,,,Kama ndugu waliruhusiwa kumuona mgonjwa wachunguzwe pia,,,maana Kuna wengine huwa wanarecord Hata baba/mama/wajomba nk zao wakifanya ecg au kalazwa anampiga pic anapost eti “pray for my mom/dad” hatar sana