joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hata kama akiwa si mtu peace kama Jay bado haki yake ya faragha lazima ilindwe.Binafsi imenisikitisha sana. Ila kupitia haya nafikiri tunaendelea kujifunza. Mtu peace kama Jay hakustahili haya!
Ila tujiandae kisaikolojia maana ziko mbegu zimepandwa, zimemwagiliwa, zimetiwa mbolea na sasa kidogo kidogo zinaanza kuchipuka! Mbaya zaidi zinachipukia hata kwa wasio na hatia.
Kasifia mbio kapitiliza kwao.Mkuu!..
Wakati mange anamtukana Magufuli na viongozi wengi ambao hatuwapendi tukikuwa tunashangilia sana,
Sasa yamegeukia kwetu tunalaumu! Mange kafika pale sababu yetu kumpa jeuri!
Wacha tuvune tulichopanda.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mi sijaiona, au nimesema nimeiona?We umeiyonaje na unasema watu waache kulipia app? Sasa wewe si mmoja ya kumpa mange utajiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njia kumweka sawa Mange ni kuiban app na kama ikiwezekana kuanzisha vuguvugu la kuireport account yake Instagram kwa vitendo avifanyavyo vya Cyber bullying hapo ndipo mtamweka sawa. Bila hivyo hata mkiifunga App mwendo utakuwa ni ulele kwani Mange hasikii wa hajali.Nadhani amegusa pabaya this time, Prof Jay hajawahi kuwa na shida na mtu na ana shida ambayo inaweza kunipata mtu yoyote wakati wowote..... kama alivyofanya Aristote akawekwa sawa, this time Mange atawekwa sawa.
Acha masihara 2b 😃😃😃Analamba 2.5billion per month...na hii nimekupa rough figure za buku buku tu per month, ukiweka wengine kama sie hapa tumelipia kwa mwaka kabisa, bado kwa walioko abroad amepandisha dau $$$
Mkuu, yaani umefoka hadi mate yamenirukia huku...😜😜Hatupo hapa kujadili labda, nisije nikakuwasha kibao bure . Umeona au hajaona hiyo video? Na je, unafahamu utafauti wa mazingira ya kuhudumia na mazingira ya kusalimia? Otherwise una uhuru wa kunyamaza na kutokunijibu.
Sio ya Zama.Akawa anasemaje?
Mi najua ile anamwomba zamaradi asimwache
we nae huna tofauti na huyo aliesambaza , Uliwaona hao madaktari wakati wanarecord ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tz ina wapumbavu wengi sana aiseeAnalamba 2.5billion per month...na hii nimekupa rough figure za buku buku tu per month, ukiweka wengine kama sie hapa tumelipia kwa mwaka kabisa, bado kwa walioko abroad amepandisha dau $$$
Sijaongelea uhalali wa kuionyesha public. Nimehoji tu kwanini walaumiwe mauguzi wakati hata mtu mwingine aliyeenda kumuona anaweza kurekodi?Je ya ruge akitubu? Inasikitisha sio fair
Kama Mange anapata 2b,yeye hizo habari za udaku ananuwa shiling ngapi kwa habari moja! Mwenyewe niko na videos zangu za udaku,nazurula nazo kwa simu, nisije kua nina utajiri nisio ujuwa!?Acha masihara 2b [emoji2][emoji2][emoji2]
Ni kama watz mil2 hv sio bas si mchezo
Kabisa!Alikuwa anafanya kazi nzuri sana..
Kazi iendelee
Mimi namsifu sana Mange anachofanya!
Tatizo ukipenda kucheza sana na Mbwa,lazima atakufuata hadi Nyumba ya Ibaada!!Ningekuwa mimi mange kitendo tu cha kupewa heshima ya kusalimiana na rais wa nchi kingenifanya niwe humble ili nisichafue file langu kwa rais tena rais mwenyewe humble kama mama samia dah ningekuwa mpole wala nisingeleta upoyoyo kama wa mange.
YesWewe
Kwani Mange kaanza kudhalilisha watu leo?Sijui labda tumeumbwa tofauti ila kuna watu ni Wanyama sanaaa...!! Yani unawezaje kuuza utu wa mtu na kumdhalilisha mwenzio kisa vihela vya Mange...[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Kazi ipo aisee