Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Binafsi imenisikitisha sana. Ila kupitia haya nafikiri tunaendelea kujifunza. Mtu peace kama Jay hakustahili haya!

Ila tujiandae kisaikolojia maana ziko mbegu zimepandwa, zimemwagiliwa, zimetiwa mbolea na sasa kidogo kidogo zinaanza kuchipuka! Mbaya zaidi zinachipukia hata kwa wasio na hatia.
Hata kama akiwa si mtu peace kama Jay bado haki yake ya faragha lazima ilindwe.
 
Mkuu!..

Wakati mange anamtukana Magufuli na viongozi wengi ambao hatuwapendi tukikuwa tunashangilia sana,

Sasa yamegeukia kwetu tunalaumu! Mange kafika pale sababu yetu kumpa jeuri!

Wacha tuvune tulichopanda.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kasifia mbio kapitiliza kwao.
 
Nadhani amegusa pabaya this time, Prof Jay hajawahi kuwa na shida na mtu na ana shida ambayo inaweza kunipata mtu yoyote wakati wowote..... kama alivyofanya Aristote akawekwa sawa, this time Mange atawekwa sawa.
Njia kumweka sawa Mange ni kuiban app na kama ikiwezekana kuanzisha vuguvugu la kuireport account yake Instagram kwa vitendo avifanyavyo vya Cyber bullying hapo ndipo mtamweka sawa. Bila hivyo hata mkiifunga App mwendo utakuwa ni ulele kwani Mange hasikii wa hajali.
 
Analamba 2.5billion per month...na hii nimekupa rough figure za buku buku tu per month, ukiweka wengine kama sie hapa tumelipia kwa mwaka kabisa, bado kwa walioko abroad amepandisha dau $$$
Acha masihara 2b 😃😃😃
Ni kama watz mil2 hv sio bas si mchezo
 
Ningekuwa mimi mange kitendo tu cha kupewa heshima ya kusalimiana na rais wa nchi kingenifanya niwe humble ili nisichafue file langu kwa rais tena rais mwenyewe humble kama mama samia dah ningekuwa mpole wala nisingeleta upoyoyo kama wa mange.
 
Je ya ruge akitubu? Inasikitisha sio fair
Sijaongelea uhalali wa kuionyesha public. Nimehoji tu kwanini walaumiwe mauguzi wakati hata mtu mwingine aliyeenda kumuona anaweza kurekodi?
Watu wamesisitiza ni wauguzi
 
Acha masihara 2b [emoji2][emoji2][emoji2]
Ni kama watz mil2 hv sio bas si mchezo
Kama Mange anapata 2b,yeye hizo habari za udaku ananuwa shiling ngapi kwa habari moja! Mwenyewe niko na videos zangu za udaku,nazurula nazo kwa simu, nisije kua nina utajiri nisio ujuwa!?
 
Ningekuwa mimi mange kitendo tu cha kupewa heshima ya kusalimiana na rais wa nchi kingenifanya niwe humble ili nisichafue file langu kwa rais tena rais mwenyewe humble kama mama samia dah ningekuwa mpole wala nisingeleta upoyoyo kama wa mange.
Tatizo ukipenda kucheza sana na Mbwa,lazima atakufuata hadi Nyumba ya Ibaada!!
 
Mpuuzi gani hiyo anayechukua video za wagonjwa na kuziweka mitandaoni.au ndo kusema tumekua wajinga hadi ujinga unamwagika.Nchi hii maadili ni sifuri.yaani kila mahali hakueleweki.
 
Sijui labda tumeumbwa tofauti ila kuna watu ni Wanyama sanaaa...!! Yani unawezaje kuuza utu wa mtu na kumdhalilisha mwenzio kisa vihela vya Mange...[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Kazi ipo aisee
Kwani Mange kaanza kudhalilisha watu leo?

Je mliwahi kusema? Au kwa vile kaguswa mtu wetu?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom