joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hata kama akiwa si mtu peace kama Jay bado haki yake ya faragha lazima ilindwe.Binafsi imenisikitisha sana. Ila kupitia haya nafikiri tunaendelea kujifunza. Mtu peace kama Jay hakustahili haya!
Ila tujiandae kisaikolojia maana ziko mbegu zimepandwa, zimemwagiliwa, zimetiwa mbolea na sasa kidogo kidogo zinaanza kuchipuka! Mbaya zaidi zinachipukia hata kwa wasio na hatia.