Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Unajua inakuwa ngumu sisi kuchangia hii mada
Maana hata sisi hiyo video hatujaiona
Na nimeshangaa nyuzi za aina hii zikichangiwa sana na watu ambao hata wao hiyo video hawajaiona
Tendo hili halitofautiani na ile dhana ya wananchi kuchukua hatua mkononi kwa kumwadhibu mwizi na hata kumuua kabisa kwa yowe tu lililosikika mwiziiiiii.
Basi hapo ni mawe, mapanga, marungu, mataili, petrol na kibiriti juu
Baadae ndio anaambiwa hakuwa mwizi waligombana tu!
Nadhani umachanganya mambo, kwenye hili hata usipoiona video, as long as kweli video ya mgonjwa aliye ICU imefika mitandaoni, haijalishi iko katika hali gani, haikutakiwa kuwa mitandaoni. Bado unaweza kuchgangia mada hiyo balimar