Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Unajua inakuwa ngumu sisi kuchangia hii mada

Maana hata sisi hiyo video hatujaiona

Na nimeshangaa nyuzi za aina hii zikichangiwa sana na watu ambao hata wao hiyo video hawajaiona

Tendo hili halitofautiani na ile dhana ya wananchi kuchukua hatua mkononi kwa kumwadhibu mwizi na hata kumuua kabisa kwa yowe tu lililosikika mwiziiiiii.

Basi hapo ni mawe, mapanga, marungu, mataili, petrol na kibiriti juu

Baadae ndio anaambiwa hakuwa mwizi waligombana tu!

Nadhani umachanganya mambo, kwenye hili hata usipoiona video, as long as kweli video ya mgonjwa aliye ICU imefika mitandaoni, haijalishi iko katika hali gani, haikutakiwa kuwa mitandaoni. Bado unaweza kuchgangia mada hiyo balimar
 
Waziri alisema baada ya nyinyi MaCHADEMA kumtelekeza. Nyumbu kabisa. Mngekua mmempeleka India kuanzia ameanza kuumwa mngekua mnaharisha hapa. Wanafiki wakubwa.

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Mbona Lissu mlikataa asitibiwe na.serikali na mpaka leo mnamtunza huko nje. MaCHADEMA hovyo sana

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana ni rafiki wa mke aliiba kwenye simu na akafanya yake.

Hata mke kwani hawezi kufanya hivyo, mbona wanawasaliti kama kawaida tu.

Video niliiona kwa Instagram ya mabibo kweli profesa anaumwa.

Mipira amewekewa kila mahali, bed amekingwa na pillow case mbili huku na huku.

Yuko in big room hope it's private sana.

Tunaamini Mungu atamuinua tena.
 
Waziri alisema baada ya nyinyi MaCHADEMA kumtelekeza. Nyumbu kabisa. Mngekua mmempeleka India kuanzia ameanza kuumwa mngekua mnaharisha hapa. Wanafiki wakubwa.

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Lugha unayotumia inaonyesha kiwango chako cha ushamba hapo ACT wazalendo.

Waha ndio mna lugha za kilugaluga mkidhani ndio ujanja, bure kabisa!
 
Weeee unaona upuuzi n.a. ukabila wa MaCHADEMA ndio maana nawaita wajinga hovyo.
Mimi mchagga Marangu Uomboni. Haya hoja nyingine nyumbu wa hedi wewe

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 
Weeee unaona upuuzi n.a. ukabila as MaCHADEMA ndio maana nawaita wajinga hovyo.
Mimi mchagga Marangu Uomboni. Haya hoja nyingine nyumbu as hedi wewe

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 
Kwani hakuna Private investigator wa kupewa hili jukumu...
 
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!
Mbona mmeanza kututesa wengine ...?tuelewane kwa lugh moja mmetuacha njia panda uzi wenyewe umeletwa kwa kiswahili jameni nyi mna reply kiinglishi
 
Inawezekana ni rafiki wa mke aliiba kwenye simu na akafanya yake.

Hata mke kwani hawezi kufanya hivyo, mbona wanawasaliti kama kawaida tu.

Video niliiona kwa Instagram ya mabibo kweli profesa anaumwa.

Mipira amewekewa kila mahali, bed amekingwa na pillow case mbili huku na huku.

Yuko in big room hope it's private sana.

Tunaamini Mungu atamuinua tena.
Mke hawezi kufanya huo ujinga
 
Unajua inakuwa ngumu sisi kuchangia hii mada

Maana hata sisi hiyo video hatujaiona

Na nimeshangaa nyuzi za aina hii zikichangiwa sana na watu ambao hata wao hiyo video hawajaiona

Tendo hili halitofautiani na ile dhana ya wananchi kuchukua hatua mkononi kwa kumwadhibu mwizi na hata kumuua kabisa kwa yowe tu lililosikika mwiziiiiii.

Basi hapo ni mawe, mapanga, marungu, mataili, petrol na kibiriti juu

Baadae ndio anaambiwa hakuwa mwizi waligombana tu!
Mambo magumu sn
 
Back
Top Bottom