Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Pale baadhi ya watu wakiguswa.

Wakitukanwa, na kudhalilishwa msiowapenda Ni sawa.

Ila wakiguswa mnaowapenda mnatoa laana, kuhukumu na kutabiri mabaya.

UNAFIKI umeota mizizi.kwa Waswahili nchi hii.
Upo sahihi mkuu,huyu alishangiliwa wakati anadhalilisha na kutukana watu matusi ya nguoni...... hakuna aliyekemea,sasa sijui mange amebadilika nini wakati ndiyo maisha yake hayo....au kwasababu amegusa wale tuwapendao? Tz kuna unafiki sana......
 
Akili ya hali ya chini sana aliyechukua video na kumtumia yule dada ukizingatia familia ya muhusika inaficha ni mambo ya kifamilia.. akili ndogo sana kwa aliyemtumia huyo dada na huyo dada pia kuipost inaonyesha ni dada wa ovyo sana.. yaani unaweza sema wale wadada wa road.. jinga kabsa
 
Angalia isikukute.. Absalom alikufa kwa unabii aliopewa babaye baada ya kumuua Uria
KWAHIYO YALE MAKABURI YA KINONDONI PALE WOOTE WALE WAMEKUFA KWA SABABU YA LAANA.nani aliyewadanganya kufa ni laana au dalili ya dhambi.kifo nin njia sahihi ya kwenda mbinguni .halafu mimi hayanikuto kwa ajili umesema hata siku moja upo?
 
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?

Pia, soma;

1). Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili
Waliomrekodi JPM akiwa mahututi na katika hali isiyo ya kibinadamu zingine zikionesha akiwa kwenye jeneza akiwa na afya dhoofu kisha picha na video zake kutupia mtandaoni kabla ya kutangaziwa umati wake nao pia wachukuliwe hatua kali kwa mjibu wa sheria za kinga ya faragha

Huo upendeleo mnaoutafuta ukate pande zote mbili
 
Hao ni wafanyakazi wa Mange Kimambi App[emoji2][emoji2], boss wao anasema yeye hata hajali yupo amekunja nne tu. BTW, wanashindwa nini kuifunga kabisa hiyo App na Ofisi?
 
Hao ni wafanyakazi wa Mange Kimambi App[emoji2][emoji2], boss wao anasema yeye hata hajali yupo amekunja nne tu. BTW, wanashindwa nini kuifunga kabisa hiyo App na Ofisi?
Huyo aliyetambulishwa kama Mkurugenzi len ni mdogo wake Mange wa mama mmoja,ni mbinafsi sana yule dada!a caring sister hawezi kuhatarisha usalama wa mdogo wake kwa kumuingiza kwenye deal za kuwachafua watu wakati yeye yupo mbali na hilo analionyesha kwa kuendelea kuwa bully watu wakati mdogo wake yupo ndani
 
Sasa nayeye alikubalije kufanya kazi hiyo ya Mange wakati anajua Mange ni bomu linalipuka muda wowote? Watu wengine wanajitafutia matatizo wenyewe
 
Mbona App yake huwezi kuifungua kwa sasa. Pia tumeona tumpe kubwa tu, maana tunablock ila anakomaa tu na ki-app chake

Labda mmefunga app feki Mkuu. Ya Mange bado iko hewani tena ndo anatukana hatari
 
Hao ni wafanyakazi wa Mange Kimambi App[emoji2][emoji2], boss wao anasema yeye hata hajali yupo amekunja nne tu. BTW, wanashindwa nini kuifunga kabisa hiyo App na Ofisi?
 
Labda mmefunga app feki Mkuu. Ya Mange bado iko hewani tena ndo anatukana hatari
 
Hatupo hapa kujadili labda, nisije nikakuwasha kibao bure . Umeona au hajaona hiyo video? Na je, unafahamu utafauti wa mazingira ya kuhudumia na mazingira ya kusalimia? Otherwise una uhuru wa kunyamaza na kutokunijibu.
Haahaha . Developer waweke hii kotu. "Kuwasha vibao" humu kwenye jukwaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom