Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu.

Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika naye.

Kama mtoto hafanyi home work wewe mwalimu unapungukiwa na nini? Mshahara wako hulipwi? Mnajipa majukumu ambayo si yenu. Sisi wazazi hawa watoto wameshatushinda tunawaleta shule waje wakue. Pia tunalazimishwa tu na serikali sometimes.

Sasa jichanganye vibaya litokee jambo. Utajibeba. Achaneni na habari ya kusema Walimu ni wito au kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Narudi nyie mkafundishe masomo. Msitoe adhabu hata kidogo. Achaneni na huo ujinga.

Yakitokea majanga mnabaki peke yenu hakuna wa kuwatetea. Mnabaki kuwa waathirika. Ni sababu ya Ujinga wenu kudhani mtawanyoosha watoto wa wenzenu ambao wameshapinda.

Mimi ningekuwa mwalimu ningekuwa naingia darasani nafundisha natoa zoezi. Watakaoleta ndiyo nitakaowasahishia. Watakaokuja shule ndiyo nitakao deal nao wasiokuwepo ni suala la wazazi husika. Nsingeshika kiboko hata siku moja. Ningewa saidia wanaotaka kusaidika. Mnashindwaje kufanya hivi?

Watoto wanapokuwa watoro,watukutu wanunulieni ice cream au cake wale.siyo kuwachapa.kama hawaandiki wanunulieni burger,sambusa,kachori n.k watapenda shule.

Lakini pia kama wengi hawafanyi kazi mnazowapa.si ndo mshukuru zoezi la kusahisha linakuwa jepesi?

Acheni ujinga wa kudhani ninyi mnaweza badilisha tabia ya mtoto ambaye wazazi wake wanaona zipo sawa. Tusije laumiana huko mbeleni.
 
Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu.

Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika naye.

Kama mtoto hafanyi home work wewe mwalimu unapungukiwa na nini? Mshahara wako hulipwi? Mnajipa majukumu ambayo si yenu. Sisi wazazi hawa watoto wameshatushinda tunawaleta shule waje wakue. Pia tunalazimishwa tu na serikali sometimes.

Sasa jichanganye vibaya litokee jambo. Utajibeba. Achaneni na habari ya kusema Walimu ni wito au kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Narudi nyie mkafundishe masomo. Msitoe adhabu hata kidogo. Achaneni na huo ujinga.

Yakitokea majanga mnabaki peke yenu hakuna wa kuwatetea. Mnabaki kuwa waathirika. Ni sababu ya Ujinga wenu kudhani mtawanyoosha watoto wa wenzenu ambao wameshapinda.

Mimi ningekuwa mwalimu ningekuwa naingia darasani nafundisha natoa zoezi. Watakaoleta ndiyo nitakaowasahishia. Watakaokuja shule ndiyo nitakao deal nao wasiokuwepo ni suala la wazazi husika. Nsingeshika kiboko hata siku moja. Ningewa saidia wanaotaka kusaidika. Mnashindwaje kufanya hivi?

Acheni ujinga wa kudhani ninyi mnaweza badilisha tabia ya mtoto ambaye wazazi wake wanaona zipo sawa. Tusije laumiana huko mbeleni.
Chukua mwanao mfundishe mwenyewe mjinga wewe
 
Kwa hali ya sasa ilivyo, ualimu hasa sekondari ni hatari ya danger! Usipowapiga wao wanakupiga! Ukiwapiga ndivyo tulivyoyasikia
 
Mie sio mwalimu ila sipendi mtu anayedharau mwalimu. Unasdiriki kuita mwalimu mjinga afu unatapika upjinga wakati mjinga ndo kakufundisha kuandika ujinga, mjinga ndo kakufundisha leo unaishi na familia yako ya kijinga.yaan walimu wajinga ssna wanafundisha ujinga na wajinga wanafanyikiwa kufanya vitu vya kijinga na ulimwengu mzima unadshangaa ujinga ambao walimu wajinga wamefundisha watu kufanya vitu vya kijinga
 
Si afadhali mimi mjinga kuliko wewe falah unayedhani una jukumu la kubadilisha tabia ya watoto wa wenzio. Bwege kabisa kilaza wewe....😁 Nikuone unamchapa mtoto uone nitakavyokushukia. Nitakupiga nao mpaka maji uite mma.
 
Mie sio mwalimu ila sipendi mtu anayedharau mwalimu. Unasdiriki kuita mwalimu mjinga afu unatapika upjinga wakati mjinga ndo kakufundisha kuandika ujinga, mjinga ndo kakufundisha leo unaishi na familia yako ya kijinga.yaan walimu wajinga ssna wanafundisha ujinga na wajinga wanafanyikiwa kufanya vitu vya kijinga na ulimwengu mzima unadshangaa ujinga ambao walimu wajinga wamefundisha watu kufanya vitu vya kijinga
Ahsante, ila hujamwelewa mtoa mada.
 
Kwa hali ya sasa ilivyo, ualimu hasa sekondari ni hatari ya danger! Usipowapiga wao wanakupiga! Ukiwapiga ndivyo tulivyoyasikia
Mkuu. Achana nao. Wala usipigizane nao kelele. We umewahi ona mwalimu anatetewa sehemu? Likitokea jambo mnaachwa peke yenu. Tofauti na askari hata akiua huwa anatetewa. Na mtamwona uraiani.
 
Mie sio mwalimu ila sipendi mtu anayedharau mwalimu. Unasdiriki kuita mwalimu mjinga afu unatapika upjinga wakati mjinga ndo kakufundisha kuandika ujinga, mjinga ndo kakufundisha leo unaishi na familia yako ya kijinga.yaan walimu wajinga ssna wanafundisha ujinga na wajinga wanafanyikiwa kufanya vitu vya kijinga na ulimwengu mzima unadshangaa ujinga ambao walimu wajinga wamefundisha watu kufanya vitu vya kijinga
Jaribu kuelewa alicho andika mtoa mada,siyo kushupaza shingo.
 
Chukua mwanao mfundishe mwenyewe mjinga wewe
Jaribu kumwelewa mwandishi, umewahi sana kumtusi, ametumia fasihi kidogo. Haja walaumu walimu kama unavyodhani, ameilaumu jamii na serikali inayowabeza walimu kwa kutengeneze na kuaandaa raia wema.
 
Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu.

Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika naye.

Kama mtoto hafanyi home work wewe mwalimu unapungukiwa na nini? Mshahara wako hulipwi? Mnajipa majukumu ambayo si yenu. Sisi wazazi hawa watoto wameshatushinda tunawaleta shule waje wakue. Pia tunalazimishwa tu na serikali sometimes.

Sasa jichanganye vibaya litokee jambo. Utajibeba. Achaneni na habari ya kusema Walimu ni wito au kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Narudi nyie mkafundishe masomo. Msitoe adhabu hata kidogo. Achaneni na huo ujinga.

Yakitokea majanga mnabaki peke yenu hakuna wa kuwatetea. Mnabaki kuwa waathirika. Ni sababu ya Ujinga wenu kudhani mtawanyoosha watoto wa wenzenu ambao wameshapinda.

Mimi ningekuwa mwalimu ningekuwa naingia darasani nafundisha natoa zoezi. Watakaoleta ndiyo nitakaowasahishia. Watakaokuja shule ndiyo nitakao deal nao wasiokuwepo ni suala la wazazi husika. Nsingeshika kiboko hata siku moja. Ningewa saidia wanaotaka kusaidika. Mnashindwaje kufanya hivi?

Acheni ujinga wa kudhani ninyi mnaweza badilisha tabia ya mtoto ambaye wazazi wake wanaona zipo sawa. Tusije laumiana huko mbeleni.
Mkuu Walimu nchi nzima tumesainishwa mikataba ya kufuta daraja F...

Serikali imetusainisha tufute F utadhani imeleta watoto waliofaulu kumbe imewavusha..

Sasa ukisema tuwaache tu si balaa...
 
Jaribu kumwelewa mwandishi, umewahi sana kumtusi, ametumia fasihi kidogo. Hajaw walaumu walimu kama unavyodhani, ameilaumu jamii na serikali inayowaneza walimu kwa kutengeneze na kuaandaa raia wema.
Huyo ndo wale wazazi ambao zamani hawakuwa wanaingia darasani halafu akaja kupata ualimu kwa cheti fake. Anakurupuka hata hajielewi.
 
Mkuu Walimu nchi nzima tumesainishwa mikataba ya kufuta daraja F...

Serikali imetusainisha tufute F utadhani imeleta watoto waliofaulu kumbe imewavusha..

Sasa ukisema tuwaache tu si balaa...
Wewe wachape uchukuliwe video halafu irushwe kisha ufukuzwe kazi. Shauri yako. Au chapa mtoto wa mtu azimie au aathirike dunia nzima itakuruka.
 
Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu.

Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika naye.

Kama mtoto hafanyi home work wewe mwalimu unapungukiwa na nini? Mshahara wako hulipwi? Mnajipa majukumu ambayo si yenu. Sisi wazazi hawa watoto wameshatushinda tunawaleta shule waje wakue. Pia tunalazimishwa tu na serikali sometimes.

Sasa jichanganye vibaya litokee jambo. Utajibeba. Achaneni na habari ya kusema Walimu ni wito au kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Narudi nyie mkafundishe masomo. Msitoe adhabu hata kidogo. Achaneni na huo ujinga.

Yakitokea majanga mnabaki peke yenu hakuna wa kuwatetea. Mnabaki kuwa waathirika. Ni sababu ya Ujinga wenu kudhani mtawanyoosha watoto wa wenzenu ambao wameshapinda.

Mimi ningekuwa mwalimu ningekuwa naingia darasani nafundisha natoa zoezi. Watakaoleta ndiyo nitakaowasahishia. Watakaokuja shule ndiyo nitakao deal nao wasiokuwepo ni suala la wazazi husika. Nsingeshika kiboko hata siku moja. Ningewa saidia wanaotaka kusaidika. Mnashindwaje kufanya hivi?

Acheni ujinga wa kudhani ninyi mnaweza badilisha tabia ya mtoto ambaye wazazi wake wanaona zipo sawa. Tusije laumiana huko mbeleni.
Wanajipa majukumu ambayo siyo ya kwao.Wakifungwa au kufukuzwa kazi kwa aibu jamii itawacheka tu kwa kukosa hikma.Na mimi ntaongeza kumwambia "go to hell"!
 
Back
Top Bottom