Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #201
Mwenyezi Mungu akutunze, akubariki, akulinde, akufadhili, akubariki na akuzidishie zaidi mpaka maadui zako wajute kukujuaSijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitakuja kupanda
Mwenyezi Mungu akutunze, akubariki, akulinde, akufadhili, akubariki na akuzidishie zaidi mpaka maadui zako wajute kukujuaSijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitakuja kupanda
Wangepumguza ushuru wa bajaj angalau ziwe nyingi na bei poa...Ushauri wangu kwa serikali bodaboda nazo zipunguzwe, kama wanavyo dili na machinga sasa wageukie na boda boda nazo.
Kwanza ni hatarishi, wanao ziendesha wengi wao hawastahili, zimekuwa nyingi mno mjini, zinasababisha msongamano mkubwa na mengine mengi ambayo yanasababisha kuwepo na sababu ya boda boda kuondolewa au kupunguzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi akinibeba ni marufuku kukatizacalculation zao za kukatiza mataaaa, huwa zinaniwazisha sanaaa,
wanapo gongana wao kwa waoo ndo tenaaa wabaki ukiwaza
Wito - abiria usimruhusu dereva boda boda avuke mataa endapo taa haziruhusu
Mkuu ni urahisi (buku) na kufika haraka bila bugudha but bajaj is much better...Mnayapendea Nini? Bora mtumie Bajaj
Boda boda ni chinja chinja. Shime wandugu, kama unaweza tumia usafiri mwingine please tumia ili kuepusha majanga.ukisoma tu huu uzi hapa utagundua watu wengi sana wamekufa kupitia hizi bodaboda na wengi sana wamepata ulemavu kwa kusoma tu huu uzi...
Mungu awasaidie sawa.... lakini huwa napata wapi ukariri wa kuperuzi mkiwa kwenye bodaboda tena high way ??? Ni ushamba ama nn?? Tena unakakuta kamekaa upande kakionesha bikn ykeAsante buji, Mungu atusaidie
Kwanini hutumii simbank au nenda kwa wakala sio lazima ufike bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Ayayayaya hii ajali naikumbuka. Mwaka jana au mwaka juzi kama sikosei. Daah!Nilishuhudia mdada pale flyover za ubungo mdada yupo kwenye bodaboda amekaa kiupande kama kawaida yao. Yule boda akaminya break ya ghafla yule dada anatoka mzima mzima kutokea juu ya flyover adi down. Lol alifariki palepale, mdada mrembo hakupata ata nafasi ya kulia
Hakuna kitu mabinti hujisikia kama kukalia kiti cha bodaboda! Akikaa mkao wa kujibinua na huku anachati! haumwambii kitu maamuzi yote humuachia dereva.Ayayayaya hii ajali naikumbuka. Mwaka jana au mwaka juzi kama sikosei. Daah!
Halafu kesho yake natoka Goba nipo kwenye bajaji namsikia mama niliyepanda naye anawapa taarifa ndugu juu ya msiba kumuuliza ananielezea. Nikamwambia niliishuhudia hiyo ajali. Huyo mama alikua mama mdogo wa binti. Inasikitishana sana. Akaniambia ndio amemaliza chuo. Noma sana mauti haya!
Ila chakushangaza vifo Vingi vya bodaboda vinatokea kwa wanume.Hakuna kitu mabinti hujisikia kama kukalia kiti cha bodaboda! Akikaa mkao wa kujibinua na huku anachati! haumwambii kitu maamuzi yote humuachia dereva.