Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unajuwa hiyo nauli ni ya daraja gani?USA tutaishia kuiona kwenye filamu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuwa hiyo nauli ni ya daraja gani?USA tutaishia kuiona kwenye filamu tu.
Hii Arrival time ndio reporting time? [emoji1745][emoji1745]Hukuzingatia muda ndo maana ulipanda boda, huwa mnapewa Arrival time ya Masaa 2 hivyo ondoka ulipo mapema ili uwahi fika
Unajuwa hiyo nauli ni ya daraja gani?
Economy haifiki bei hio. Ni bei ya kawaida wala usiogope
View attachment 1962246
Kijana mimi ni mzoefu wa kusafiri masafa ila siku hiyo kulitokea jam ambayo tulikaa zaidi ya masaa moja na zaidi. Imagine mimi nimeshaingia ndani ya ndege, dereva hata hajafika Magomeni.Hukuzingatia muda ndo maana ulipanda boda, huwa mnapewa Arrival time ya Masaa 2 hivyo ondoka ulipo mapema ili uwahi fika
Angalizo. Siyo kila mtu anasafuri na EconomyAngalia hizo bei hapo! Hata USD 1000 haifikiView attachment 1962268
Siyo kila mtu anasafiri na economy class. Angalia website ya Emirates na ueleze uongo wangu umetoka wapi.Ona sasa, tena round trip…. Mzee kolola unazingua.
Asee pole SanaNilipata ajali tarehe 29.4.2021 nikavunjika mguu wa kulia,mpaka leo nipo kitandani
Dereve wa bodaboda alifariki palepale, kuja kichunguza naambiwa alikua kalewa pombe.
Siyo kila mtu anasafiri na economy class. Angalia website ya Emirates na ueleze uongo wangu umetoka wapi.
Naomba namba ta rehema nimpe maneno ya faraja na maombiYaani ajali nyingi sisi ndio victims, na hatujui KURUKA. Nina rafiki zangu zaidi ya sita wameenda na mwingine Rehema Muya kapoteza uwezo wa kutembea, spinal cord imevunjika
Uzembe,ulitakiwa utoke nyumbani two hours or three beforeTema mate chini! Foleni ilinifanya niipande toka Kino hadi Airport kuwahi na nilikuwa last passenger to board
Surf uone hiyo ni lowest fare kwa first class. Nenda webpage ya Emirates kijana. Kitu hujui nyamazaUongo wako ni hapo kwenye lowest fare.
For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huoUzembe,ulitakiwa utoke nyumbani two hours or three before
Unaishi morogoro we mataga😀😁For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo
Hatujataka hizo tambo zako. Ndege kitu gani?Kijana mimi ni mzoefu wa kusafiri masafa ila siku hiyo kulitokea jam ambayo tulikaa zaidi ya masaa moja na zaidi. Imagine mimi nimeshaingia ndani ya ndege, dereva hata hajafika Magomeni.
Angalizo. Siyo kila mtu anasafuri na Economy
Unakaa wapi? Bagamoyo au Chalinze?!!😇😇😇For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo
Sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitakuja kupandaNI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet Ray rafiki yangu, kapata ulemavu wa kudumu akiwa kwenye bodaboda.
Wadada mkiwa kwenye bodaboda mnajiona mko salama sana, mnabinua vijikalio vyenu huku mkipekenyua kurasa za instagram.
Upekuzu huo huwapelekeni mbali kiasi kwamba mnasahau kuwa mna jukumu la kumuongoza dereva na chombo chake, maana madereva wa bodaboda ni bangi na dabokiki paseee.
Matokeo yake mnajikuta tayari ajali Isha wameza.
With wangu kwenu:-
1. Usimchukue dereva MWENYE kiduku au turn dread, tafuta dereva mtu mzima mwenye staha zake.
2. Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.
3. Mwambie mapema dereva aende mwendo wa pole hata Kama una haraka, ni salama zaidi kwako.
4. Usitumie simu kwenye bodaboda, itakuondolea concentration, utashindwa kumuongoza dereva.
5. Vaa kofia ngumu, usipande bodaboda ambayo haina kofia, na ni lazima uvae kofia.
6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.
Wishing you all the best