Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Brother mtu ambaye anaona wenzake hawana akili ila yeye tu hapo ndipo tatizo linaanza.Bora uone watu wajinga ila usiwaone hawana akili,hili tatizo litamgharimu Lisu na wenzake.
 
Kumbe bro na wewe katika hili umekua emptied... Hebu tafakari kwanza au fanya research ya kutosha bro. Waachie kina Malaria 2 Tlaatlaah wakurupuke... hawa Chadema wamejipanga sana...
 
Hata Mimi nimeshasema Mara nyingi humu Lissu anatakuwa kupata mshauru mzuri wa upongozi Butiku, Bagonza, Warioba,Kikwete Amani Karume Mbowe na wanatakiwa washauri wake wa karibu.
Huwezi kushinda uongozi wa juu nchi kwa harakati pekee. Huwezi kuwa kiongozi wa taasisi kwa kuwa msema chochote
 
Ccm daima Samia mitano tena
 
TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.

Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.

Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Paskali unaposema utopian politics, pia unamaanisha madai ya kuweka fair ground sio valid kwako?
 


P,

Tatizo huja toa solution yeyote. Kuna vitu viwili vikubwa

1. Kwa mazingira ya sasa chaguzi sio za haki na utaratibu lazima ubadilishwe. Hivyo naunga mkono kutoshiriki chaguzi kama hakuna mabadiliko. Kwanza swali je unakubaliana na hili au haukubaliani na hili. Yes or No
2. Kama unakubaliana na kwamba hakuna chaguzi mpaka utaratibu ubalike unashahuri Lissu na Chadema wafanye nini? Tusiweke utamaduni wa kuweka mabandiko ya kubadilisha hoja jibu maswali ya msingi. Keep it simple.
Ni kama vile unahimiza Chadema waendelee na siasa za kudanganyana danganyana kila siku. Hizo siasa unazoongea ziliendelea kuanzia 2021 na Mbowe kashindwa kwa siasa ambazo unasema Lissu afanye. Mabadiliko ya Mbowe kushidwa ni kwasababu hii. Kwa ufupi hayo unayosema ndiyo yameshindikana
 
Kumbe bro na wewe katika hili umekua emptied... Hebu tafakari kwanza au fanya research ya kutosha bro. Waachie kina Malaria 2 Tlaatlaah wakurupuke... hawa Chadema wamejipanga sana...
mtoa hoja mapema sana aliwahi kuwashauri chadema waweke nguvu kwenye ubunge na udiwani, urais wanapoteza nguvu na muda tu ila wakaishia kumtukana tu,

mimi mwenyewe nilitoa tahadhari mapema sana kwamba kwa aina ya kampeni walizofanya chadema hususan kwenye nafasi ya uenyekiti, matokeo yake itakua ni kuhujumiana tu hali ambayo ndio inaendelea hivi sasa 🐒
 
Upo DEEP SANAAA....
 
Hoja nzito sana hii.

Sasa hivi chaguzi Tanzania zenye ushiriki hasa wa CHADEMA na ule wa ACT kule Zanzibar umekuwa ni tangazo rasmi la vita ya ndani (civil war) kati ya vyombo vya dola (vyenye silaha zote) na viongozi, wagombea na wafuasi wa vyama vya upinzani.

Lazima yatokee mauaji, vilema majeruhi, utekaji, udhalilishaji na upoteaji wa watu.

Faida kwa vyama vya upinzani labda ni zile nafasi chache za ubunge, uwakilishi na “privilege” za KUB na ruzuku. Basi! Wako wanasiasa wa upinzani wanaootea nafasi hizo kama suala la kufa na kupona. LAKINI, is that worthy all the bloodletting?

Kwa mantiki hiyo, sioni haja ya uchaguzi nchini kama status quo itaendelea.
 
Mawazo ya mapandikizi ya ccm. Tulieni muone Chadema inavyokua!!
Mtu kama Kigaila ni kirusi cha kukitupa mbali kabisa kwani ni kurusi kibaya.
 
Haya yote huyo Mamluki Pascal Mayalla anafahamu
 
Mawazo ya mapandikizi ya ccm. Tulieni muone Chadema inavyokua!!
Mtu kama Kigaila ni kirusi cha kukitupa mbali kabisa kwani ni kurusi kibaya.
Uzuri ni kuwa yote yatakuwa wazi. Tutashuhudia jinsi mabadiliko yatakavyofanywa kwa kuhofia kuwa CDM itazuia uchaguzi. Au wasipofanya hivyo jinsi CDM itakavyo uzuia. Sisi mapandikizi ya CCM yetu macho.

Amandla...
 
Sema wewe kaka mkubwa... Nikisema mimi wananiona napiga kelele...
TAL hajitambui hajiwezi hana utashi na fikra za kuikomboa chadema na taifa...
TAL ni mwanaharakati uchwara kama Mdude, mimi sikuzote huwa sioni tofaut ya Lissu na Mdude zaidi ya elimu zao 💩🤣 Lissu kamzidi Mdude elimu ila Mdude anaweza kuwa na akili nyingi za kisiasa na kimaendeleo kuliko TAL...
 
Mayalla Mayalla,
Uteuzi haukuhusu tena jamaa yangu,tulia tu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…